yusuf57
JF-Expert Member
- Jul 4, 2019
- 322
- 665
We jamaa mnafki sana[emoji23]Kuna watu watakuja kusema ulipie tangazo, wapuuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We jamaa mnafki sana[emoji23]Kuna watu watakuja kusema ulipie tangazo, wapuuze
ila si kuzoa kila gandaMchaguwa jembe si mkulima.
Chukua mavi ya nguruwe weka kwenye ndoo ya maji lita ishirini. Kisha funika kwa siku tatu na uoge nayo, nuksi zote zinatokaNi kweli nitakua na gundu
Duh 40, mm nlioa na 29 aisee nlikua nimepanga nyumba nzima mke wangu alikuwa na 22 yrs siku moja akaja mgeni akatukuta mm na mke wangu tumekaa nje mida ya jioni tunapiga stor na mtoto wetu mta huo ana miaka 2 akatusalimia akauliza naomba mniitie baba mwenye nyumba, mke wangu akacheka kwanza then akasema huyu unayemwona ndo baba mwenye nyumba na mm ndo mama mwenye nyumba. Mzee yule hakuamini coz nyumba ilikuwa kubwa na sisi tunaonekana wadogo sana.Mbona umri bado sana? Nilioa nikiwa na 40
Watu wanakariri sana maisha hio ndo changamoto kubwaAmekwambia hana hela?
Ni uchawi huo, mtu hakujui anakwambia tafuta helaWatu wanakariri sana maisha hio ndo changamoto kubwa
Asee subr nature ikuamulie mkuu , inawezekan wew ndio unamatazo /hujui jinsi ya ku deal na mwanamke.Nilishajaribu mpaka beki tatu mambo bado yakawa magumu
Oya mi ninavyojua mtt wa kike ukimtangazia ndoa mapema anaelewa km amekulewa sema ndo unatakiwa ukae Kwenye huo mstar wa ndoa ila ukianza kuleta hbar za kutaka kuichakata mbususu kabla atahic ndoa ilikuwa gia tuTatizo ukiwatongoza unaenda Moja Kwa moja na mada ya kuonana, Kwa wanawake ambao bado wapo kwenye 20 - 30 ni ngumu sana kukubali sababu wengi bado wanakuwa unsettled.
Ushauri wangu tafuta mwanamke lakini usimwambie unataka ndoa direct , ukifika muda utaona tu yeye mwenyew ataonyesha dalili.
Bado muda upo usikate tamaa , kuwa bachelor is a lonely life hasa ukifika 40+.
Tafuta mwanamke utakayeweza kuvumilia mazaifu yake na mwenye uwezo wakuvumilia mazaifu yako ,hakuna mkamilifu hata wewe una mazaifu kibao.Mim ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
[emoji3][emoji3][emoji3]Aisee brother una umri[emoji1] au ulioa mwaka jana[emoji1787]
Trust me. Sijafake kituMkuu kweli? Au unam motivate tu kijana
[emoji1544][emoji1544][emoji1550][emoji1550]He,Sasa una mingapi? [emoji23][emoji23]
Mzee ulichukua kinda kabisa[emoji23] hongera sana kwakweliDuh 40, mm nlioa na 29 aisee nlikua nimepanga nyumba nzima mke wangu alikuwa na 22 yrs siku moja akaja mgeni akatukuta mm na mke wangu tumekaa nje mida ya jioni tunapiga stor na mtoto wetu mta huo ana miaka 2 akatusalimia akauliza naomba mniitie baba mwenye nyumba, mke wangu akacheka kwanza then akasema huyu unayemwona ndo baba mwenye nyumba na mm ndo mama mwenye nyumba. Mzee yule hakuamini coz nyumba ilikuwa kubwa na sisi tunaonekana wadogo sana.
Kwanza kwann wakukatae??Mbona unafikira mfu kuna watu hawajaoa na sio mashoga
Tutampa Lipa namba [emoji3][emoji3]Kuna watu watakuja kusema ulipie tangazo, wapuuze
Dah [emoji23][emoji23][emoji23]Kama swaga zako ni za kujifanya unataka kuowa utasubiri sana.
Ndoa huwa inaanzia kwenye mahusiano kwanza chemistry zikikubali mtoto wa kike anakutambulisha kwao.
Ukitaka hao wa kuowa bila dating nenda makanisa ya walokole huko ndio kila siku wanaombewa kutafuta wachumba, muone Mchungaji umpe na fungu lake la kumi akuunganishe.