Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

chaneee umenijibu kabla sijakuuliiza..
Mzee mkoloni.
Huna kifua cha kumvumilia mtu.
Unachana bila ganzi

....kizazi hiki huoi kweli
Unajua kwenye maisha unaweza dhani mambo flani hayawezekan au kutokea watu ila yanatokea
Hivi haujiulizi kwanin kundi kubwa la wanaume ambao wanampaka miaka 40's na hawajaoa sio wanapenda ila mda mwingine nature ndo inavyoamua hivyo
 
Ni kweli ila pia gia mbaya inachangia asikutake zaidi, imagine amedanganywa na watu kibao kuhusu kuoolewa then wakaishia ku hit na ran, then unakuja na wewe mwenyewe kwa gia hiyo hiyo aah lazima akuhisi ni wale wale
Kiuhalisia kumjua mwanamke anataka nini ni ngumu
Sio kwa ubaya kutafuta ela ni rahisi zaid kwa sababu kutafuta ela kuna involve akili, network n.k ni ngumu sana kuingia kwenye mahusiano sababu mahusiano lazima kuwe na hisia in first place kitu ambacho kinafanya kuwa complicated
 
Bila uwongo humuwin mwanamke... mwanamke kaumbwa kudanganywa...

Yuke aliekukataa kamdanganye kuwa bakhress ni baba ko kama atakukataa... mambo ya ustraight ni ya wanaume... ila wanawake soundi safi😂
 
Bila uwongo humuwin mwanamke... mwanamke kaumbwa kudanganywa...

Yuke aliekukataa kamdanganye kuwa bakhress ni baba ko kama atakukataa... mambo ya ustraight ni ya wanaume... ila wanawake soundi safi😂
Hapo ndo ninapofail napataga wakati mgumu kumdanganya mwanamke ambaye unakuja kuwa nae kwenye mahusiano
 
Back
Top Bottom