kinywanyuku
JF-Expert Member
- Jul 13, 2015
- 3,746
- 2,924
Gubu maana yake nini,vp mwanaume akiwa mlalamishi?Tunakataa sana
ndoa na jamaa mwenye gubu??
Hana jema hiyo sio ndoa ni jehanamu wanawake wenye akili timamu ndoa hizi huzikimbia
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gubu maana yake nini,vp mwanaume akiwa mlalamishi?Tunakataa sana
ndoa na jamaa mwenye gubu??
Hana jema hiyo sio ndoa ni jehanamu wanawake wenye akili timamu ndoa hizi huzikimbia
Ndio gubu lenyewe hilo yaani hana jemaGubu maana yake nini,vp mwanaume akiwa mlalamishi?
Ni kweli ila pia gia mbaya inachangia asikutake zaidi, imagine amedanganywa na watu kibao kuhusu kuoolewa then wakaishia ku hit na ran, then unakuja na wewe mwenyewe kwa gia hiyo hiyo aah lazima akuhisi ni wale waleGia hazisaidii, kama mdada hakutaki, hakutaki tu financial services
Unajua kwenye maisha unaweza dhani mambo flani hayawezekan au kutokea watu ila yanatokeachaneee umenijibu kabla sijakuuliiza..
Mzee mkoloni.
Huna kifua cha kumvumilia mtu.
Unachana bila ganzi
....kizazi hiki huoi kweli
[emoji41][emoji41][emoji41]joined today😀😀
Mdada nimekumiss sanaNi kweli mkuu, ajaribu gia nyingine ataona mambo yanavyokua mazuri
Mwanaume akiwa mlalamishi hampendi?Ndio gubu lenyewe hilo yaani hana jema
Nashukuru sana, mimi nipo mkuuMdada nimekumiss sana
Kiuhalisia kumjua mwanamke anataka nini ni ngumuNi kweli ila pia gia mbaya inachangia asikutake zaidi, imagine amedanganywa na watu kibao kuhusu kuoolewa then wakaishia ku hit na ran, then unakuja na wewe mwenyewe kwa gia hiyo hiyo aah lazima akuhisi ni wale wale
Kitambo sana sikusomiNashukuru sana, mimi nipo mkuu
NipooKitambo sana sikusomi
Wewe unapenda mwanamke mlalamishi?Mwanaume akiwa mlalamishi hampendi?
Hapo ndo ninapofail napataga wakati mgumu kumdanganya mwanamke ambaye unakuja kuwa nae kwenye mahusianoBila uwongo humuwin mwanamke... mwanamke kaumbwa kudanganywa...
Yuke aliekukataa kamdanganye kuwa bakhress ni baba ko kama atakukataa... mambo ya ustraight ni ya wanaume... ila wanawake soundi safi😂
Hapana ila sometime wanawake mnachangia tuwe walalamishi unaweza kuta mnatuzungusha kutoa mzigoWewe unapenda mwanamke mlalamishi?
Huwez lazimisha mambo ambayo hayawezekani maisha yenyewe mafupiKuamua kuwa singali forever nao ni ushujaa tosha
Atapata kweli Mungu yupo amuombee tu asichokerhuna beki tatu au mabest single tumsaidie brother!