Ngiama makanda
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 1,552
- 2,741
We utakuwa huna hela tu na kama unavyosema ni mtu wa kusema ukweli ndo kabisa umekwishaMim ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni...
Hawajui wanataka nn mkuuu πππElezea iyo point ya uchoyo na kutaka kuabudiwa.. Kwenye uchoyo unamaanisha nikikutongoza leo, kesho ukiniomba hela nikupe?
Point ya kuabudiwa, unataka mm niwe nakubembeleza miezi mingi??? Ili Unikubalie Kwenye process za kutongoza? rubii
My dear huo ni ujumbe wa mhusika nae ameuelewa,Elezea iyo point ya uchoyo na kutaka kuabudiwa.. Kwenye uchoyo unamaanisha nikikutongoza leo, kesho ukiniomba hela nikupe?
Point ya kuabudiwa, unataka mm niwe nakubembeleza miezi mingi??? Ili Unikubalie Kwenye process za kutongoza? rubii
Japo hainihusu ila hii ni Pathetic answerMy dear huo ni ujumbe wa mhusika nae ameuelewa,
Na asiyeijua maana huwa haambiwi Asante.
Wanajua sana ndio maana wana utashi kukataa na kukubali....ndoa ni maisha sio maonyesho tu.Hawajui wanataka nn mkuuu πππ
Ungeelezea hivyo ungepungukiwa nn sasa kwanzia mwanzo ππWanajua sana ndio maana wana utashi kukataa na kukubali....ndoa ni maisha sio maonyesho tu
Mke na mume mwenye picha ya maisha yake ya mbele na familia yake iweje hakika anajua nani anafaa
Pia anayefaa kwako hawezi kufaa kwa kila mtu
sawa.Japo hainihusu ila hii ni Pathetic answer
Sio utani ππππππ
Mwanzo upi sasa ππππ usiwe unadandia tuUngeelezea hivyo ungepungukiwa nn sasa kwanzia mwanzo ππ
Inachukua week3 hadi miezi 3 kujua hizo tabia za mwanzoMwanamke anayekukataa kwenye process anajuaje una hizo tabia kama sio uongo
Kuna wanaume kibao wana hizo tabia na wameoa na wanagombaniwa na wanawake na kuna wanaume wastarabu wanawake hawawataki
Uongoo ukishakuwa mchoyo unaishi nananiMwanamke anayekukataa kwenye process anajuaje una hizo tabia kama sio uongo
Kuna wanaume kibao wana hizo tabia na wameoa na wanagombaniwa na wanawake na kuna wanaume wastarabu wanawake hawawataki
Kwa hiyo ili uoe, inabidi uvumilie ujinga wa mwanamke Glenn
πππππ₯π₯Kumbe hili jukwaa bado lina watoto
π π π
Mahusiano/ urafiki ya kuwa wapenzi / wachumba hayalazimishwi kwa njia yoyote .Chanzo Cha kupenda kupendwa ni hiari ,hiari hailazimishwi huka yenyewe baada umtongozae kukubalia kwa maneno na matendo .Kipimo cha penzi lenu itakuwa na maneno yake na matendo yake ,ukiona hakutamkii kwamba amekubali uwe mpenzi/ mchumba wake jua hajaridhia moyo na nafsi yake kukubali huwezi kumlazimisha kama hataki jua wewe sio chaguo lake hata kama umetokea kumpenda vipi ,tulia mpaka maumivu ya kukataliwa au stopisha process za dating jipange upya ukubali tu karata zako zimegonga mwamba . Mfute kwenye kumbukumbu zako endelea na mishe zako za maisha ,kama Mungu ndiye aliyekupangia awe mkeo atarudi mwenyewe kukutafuta ila kukukataa chukulia kama somo lako la mahusiano ,itakufanya kuwajua vizuri wasichana/ wanawake na kujua jinsi kuendenana nao iwapo utapata mpenzi mpya .Elezea iyo point ya uchoyo na kutaka kuabudiwa.. Kwenye uchoyo unamaanisha nikikutongoza leo, kesho ukiniomba hela nikupe?
Point ya kuabudiwa, unataka mm niwe nakubembeleza miezi mingi??? Ili Unikubalie Kwenye process za kutongoza? rubii