Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Nimetafuta mwanamke wa kuoa nimekosa, imebidi niishi single maisha yangu yote yaliyobaki hapa duniani

Elezea iyo point ya uchoyo na kutaka kuabudiwa.. Kwenye uchoyo unamaanisha nikikutongoza leo, kesho ukiniomba hela nikupe?

Point ya kuabudiwa, unataka mm niwe nakubembeleza miezi mingi??? Ili Unikubalie Kwenye process za kutongoza? rubii
Hawajui wanataka nn mkuuu 😁😁😁
 
My dear huo ni ujumbe wa mhusika nae ameuelewa,
Na asiyeijua maana huwa haambiwi Asante.
 
Hawajui wanataka nn mkuuu 😁😁😁
Wanajua sana ndio maana wana utashi kukataa na kukubali....ndoa ni maisha sio maonyesho tu.

Mke na mume mwenye picha ya maisha yake ya mbele na familia yake iweje hakika anajua nani anafaa.

Pia anayefaa kwako hawezi kufaa kwa kila mtu
 
Wanajua sana ndio maana wana utashi kukataa na kukubali....ndoa ni maisha sio maonyesho tu
Mke na mume mwenye picha ya maisha yake ya mbele na familia yake iweje hakika anajua nani anafaa
Pia anayefaa kwako hawezi kufaa kwa kila mtu
Ungeelezea hivyo ungepungukiwa nn sasa kwanzia mwanzo 😁😁
 
Mwanamke anayekukataa kwenye process anajuaje una hizo tabia kama sio uongo
Kuna wanaume kibao wana hizo tabia na wameoa na wanagombaniwa na wanawake na kuna wanaume wastarabu wanawake hawawataki
Inachukua week3 hadi miezi 3 kujua hizo tabia za mwanzo
Umelishasema una ukoroni
Na huwa haujifichi
Hakika ninakwambia
Ila usijali kama shida ni harusi tu utampata mwenye shida nayo kama wewe.
Kama unahitaji familia yenye misingi ya upendo Yakupasa kubadilika
Uzuri tabia zako zote usnazijua.
uWe na siku njema
 
Mwanamke anayekukataa kwenye process anajuaje una hizo tabia kama sio uongo
Kuna wanaume kibao wana hizo tabia na wameoa na wanagombaniwa na wanawake na kuna wanaume wastarabu wanawake hawawataki
Uongoo ukishakuwa mchoyo unaishi nanani
 
Elewa nini maana ya mwanamke kiumbe dhaifu
elewa nini maana ya ishi na wanawake kwa akili
Elewa nini maana ya mke ni msaidizi wa mmewe.
Elewa nini maana ya mwanaume ni kichwa Cha family
Mwisho elewa nini maana ya uvumilivu na ujifunze ni nanma gani wanadamu wanaweza kuvumiliana faida na hasara za kutokuwa na sifa za uvumilivu

Ndipo utajua umuhimu hasa mwanaume kuwa na sifa ya kuvumilia kuliko mwanamke ndio maana mwanaume ana koromeo mwanamke hana na utakuja kugundua kwa nini Mungu alitaka mwanaume ndie ampende zaidi na kumtunza mkewe na kwa nini Mungu alimtaka mwanamke awe mtii.

Kwa hiyo ili uoe, inabidi uvumilie ujinga wa mwanamke Glenn
 
Ukiwa hauna hela halafu uwe na tabia za ki whack hawapendagi kabisa watu wa hivyo ila ukiwa na mpunga hata uwe na tabia gan masta utapata tu jiko keyword usiwe na hela za wastan kama tabia zako sio za kuvutia
 
Elezea iyo point ya uchoyo na kutaka kuabudiwa.. Kwenye uchoyo unamaanisha nikikutongoza leo, kesho ukiniomba hela nikupe?

Point ya kuabudiwa, unataka mm niwe nakubembeleza miezi mingi??? Ili Unikubalie Kwenye process za kutongoza? rubii
Mahusiano/ urafiki ya kuwa wapenzi / wachumba hayalazimishwi kwa njia yoyote .Chanzo Cha kupenda kupendwa ni hiari ,hiari hailazimishwi huka yenyewe baada umtongozae kukubalia kwa maneno na matendo .Kipimo cha penzi lenu itakuwa na maneno yake na matendo yake ,ukiona hakutamkii kwamba amekubali uwe mpenzi/ mchumba wake jua hajaridhia moyo na nafsi yake kukubali huwezi kumlazimisha kama hataki jua wewe sio chaguo lake hata kama umetokea kumpenda vipi ,tulia mpaka maumivu ya kukataliwa au stopisha process za dating jipange upya ukubali tu karata zako zimegonga mwamba . Mfute kwenye kumbukumbu zako endelea na mishe zako za maisha ,kama Mungu ndiye aliyekupangia awe mkeo atarudi mwenyewe kukutafuta ila kukukataa chukulia kama somo lako la mahusiano ,itakufanya kuwajua vizuri wasichana/ wanawake na kujua jinsi kuendenana nao iwapo utapata mpenzi mpya .
Epuka kususia mahusiano ni chanzo Cha kuchukua maamuzi kuchukia wanawake wote kitu ambacho utakuwa huwatendei haki wanawake sababu sio kweli kwamba wanawake wote ni walewale na pia sio kweli kwamba wanaume wote ndio walewale , binadamu tunafana physical structure lakini kitabia kila binadamu ni unique.
Wakufana na wewe atakuja tu jifunzeni kuwa mvumilivu ,najua inauma unapoona wenzio wanao tena wengine unaweza ona wanaoa wewe kwako inakuwa tatizo ,usiwaonee wivu ,jua ni bahati yao na ya kwako inakuja hata kama itachelewa ,NAKUOMBEA BARAKA ZA MWENYEZI MUNGU AKUPATIE KIBALI CHA KUKUPATIA MKE ITAKAYOWAPATIA FAMILY MJE MPATE WATOTO MJE MSHUHUDIE WAJUKUU NA VITUKUU ,
AMIN.
 
Back
Top Bottom