Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Picha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mama samia ripoti ya siyeijii ifanyie kaz ovaaaMchaguwa jembe si mkulima.
Life begins at 40Mbona umri bado sana? Nilioa nikiwa na 40
duh! hapana kuna mahali kuna shida hadi beki tatu?Nilishajaribu mpaka beki tatu mambo bado yakawa magumu
Gia hazisaidii, kama mdada hakutaki, hakutaki tu financial servicesNi kweli mkuu, ajaribu gia nyingine ataona mambo yanavyokua mazuri
huna beki tatu au mabest single tumsaidie brother!Utampata tu ningekuwa single ningejikomba
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Tunaishi nao kwa kuwapa ahadi mwishowe tunazeeka
Kwanini,gari na nyumba havileti mkeUtoto Raha Sana.
Wanakataa kama kawaida mkuu usikaririKwa age kama 28+ kuendelea ukingia na gia hiyo mara nyingi hawachomoki.
[emoji119][emoji114]Dada zako hutaki waolew?
Aliye na dada lazima awe na shemeji. My sister has the same problem she can't find a good man. Mleta mada he can't find a good woman. I am just in the middle helping. Mleta mada akimkataa dada yangu it's his loss [emoji854]
To be honest najiona nina gunduKaoge maji ya baharini utakuwa na gundu.
Una uhuru wa kua na fikra kama hizoHuna hela mwanamke hakatai ndoa.
Domo zege⏳Mim ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni
Wanawake ambao nimewatongoza na kuonesha nia ya kuwaoa na kuanzisha nao familia wote wamenikataa, weakness kubwa niliyokuwa nayo mim sio muongo na niko straight may be ndo kitu kinachonifelisha ila kamwe kujibadilisha nimeshindwa
Kuna mda najiulizaga watu wanavyosemaga wanawake wa ki-leo wanalilia ndoa sidhan kama hii kauli ina ukweli, ni uongo sina tatizo na wanawake walionikataa sababu ni haki yao na sina chuki nao.
Na kamwe sitakaa niipinge ndoa yes nimeshindwa kupata mwanamke wa ndoa, lakin wengine wamefanikiwa kupata wenza na wanaishi vizuri kwa hiyo sipo kwenye ile kampen ya kataaa ndoa
Wanawake niliowaaproach ni wakawaida sio wa hadhi ya juu
Baada ya kukataliwa na kila mwanamke ambaye niliyetaka kumuoa na kuanzisha familia imeshindikana imebid nitulie kwanza nijipange kiakili kuishi bila mke ni ngumu ila inawezekana.
Let us be realistic ndoa is not for everyone wengine tumepigania ila imeshindikana kinachonipa aman at least nimejaribu sababu the only fear is not trying
Chamgamoto ninayokumbana nayo na nitakayokumbana nayo for the rest of my life ni upweke na ndo kitu ambacgo natakiwa kupambana nacho for the rest of my life
Tunakataa sanaHuna hela mwanamke hakatai ndoa.
Mim ni mwanaume nina miaka ya mwanzoni mwa 30's personality yangu niko straight nina element za wale wazee ambayo ni wakoloni