Nimetapeliwa elfu hamsini (50,000/-)na huyu dada tuliyeheshimiana sana, nimfanye nini?

Ulikosea Sana kufata mwanamke hostel kwake kumdai pesa yako.

Alichukulia ulikuja kwa Shari maana sio mahala mlikopeania pesa.

Nae akahamua kujihami kwa Shari zaidi.
Hapana, sikwenda kwa shari, hela nilimpea hostel pia.
 
Alikulipa kiasi au hakulipa hata kidogo?
 
Wanawake huwa hawakopeshwi,na ukimkopesha hakikisha unamkopesha ela ambayo haitakuathiri au uwe tayari kulipwa kwa namna ambayo wanaijuaga wao.Ukishamkopesha wakipata ela wanakua wachungu sana kurudisha deni.
 
Utapeli umezidi sasa 🤣🤣 jana kuna member humu alitapeliwa 5000, wewe 50,000, nasubiri wa 500,000 na 5000,000.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…