Nimetapeliwa nauli na mrembo niliyekutana naye mtandaoni

Mimi pia yamenikuta hayo. Mnaelewana vizuri mwisho anakwambia nitumie nauli tena anakusisitiza kabisa eti anajiandaa aje na oicha za kukutamanisha anakutumia. Ukituma tu ndio hapokei wala.meseji hajibu. Wamenila kama wawili hivi japokuwa nauli yenyewe ni ndigo ila inaudhi.

Kuanzia hapo nikiombwa nauli tu namwambia mission aborted. Sipokei hata apige vp.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Huyo ni mwanaume mwenzako kakutandika, poleee
Hio michezo watu wanaicheza sana kuweka picha za warembo profile ukijiingiza unaliwa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] parody km parody lol

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Yani acha tuu 30K ilienda malaya yule akaendelea kuniletea shida tu.. Ndo nkajua single maza wenye mikalio kichwani kweupe..!! Siku nikamtolea uvivu alinililia shida nkamwambia njoo ufate laki lodge... Akasema naona umenichoka nikamwambia toka kitambo aisee nafurahi umejua leo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujanja wako wotee ulipigwa 30k poleeeeeeeh.

Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kubali yaishe tu usitamani ku apply tit for tat hito ni hela kidogo wewe ni mwanaume utapata nyingine ndivyo walivyo hao wanapenda mserereko huyo atakuwa ni mke wa mtu emokosa sababu ya kumdanganya mme wake.
 
Mkuu kubali yaishe tu usitamani ku apply tit for tat hito ni hela kidogo wewe ni mwanaume utapata nyingine ndivyo walivyo hao wanapenda mserereko huyo atakuwa ni mke wa mtu emokosa sababu ya kumdanganya mme wake.
Kweli mkuu,ila wanakosa ustaarabu
 
Kula nauli naona kama ni utoto fulani hivi; kwa sisi ambao tuko 40+ nadhani ni busara kuwa muwazi tu, kwa sababu hakuna kipya.
Unaanzaje kutuma nauli kwa stranger, tena umesema kabisa upo 40+. Unazingua pakubwa mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…