Nimetazama interview ya hawa wanafunzi wa Kitanzania nchini Iran nikaelewa jambo

Tanzania kuna demokrasia??
 
Tanganian naingia mkono hoja yako ya demokrasia ni utapeli mkubwa , tazama waliokuletea demokrasia mfano marekani , uingereza , ujermani ,ufaransa Wana vyama vinganpi vya siasa , muundo wa serikali zao, halafu hesabu vyama vya siasa vya Tnchi yako , au idadi ya vyama pale DRC utagundua kua demokrasi iliyokuja afrika ilitengenezwa ili serikali za magharibi ziweze kupata vibaraka kupitia vyama vya siasa na kucontrol rasilimali zote na kufanya wizi wa mchana kweupe
 
Hapa bongo ungependa familia ya nani iwe Sultan?
 
Tanzania kuna demokrasia?
 
Duuh! Hawa wazungu waongo waongo, usikute life la Sinza pale, linawazidi mamilioni ya watu wa EU au US
 
Kwenye usafiri wa Uma wana Metro hao jamaa na gharama ni kama sh 135 tu ya Tanzania kwenda popote pale Tehran.

Funny thing sasa hivi Iran wameanzisha Medical Tourism ku target Nchi ambazo Gharama za Afya ni kubwa, 2012 walipokea watu 30,000 by 2017 watu 500,000 na expected sasa hivi kufika watu milioni 1 wanaoenda Iran kutibiwa Kila mwaka.
 
Point yangu mimi kama mimi ni kuwa maisha ya Iran si magumu kama tunavyoaminishwa na yana afadhali kuliko nchi nyingi za Afrika zisizo na vikwazo. Over
Ugumu una definition, ugumu wapia kwanye nyanja gani?
 
Kwa middle east sidhani kama kuna nchi inawafikia akili waajemi..
Kipimo kidogo tu, unampiga mtu vikwazo for almost 50 years halafu bado wananchi wanaishi maisha nafuu na wanaendelea kiteknolojia kwa kasi.
Hiv uturuki ipo middle East?
 
Luxembourg, Malta, Estonia, Hasselt na Belgrade usafiri wa umma ni bure kabisa.
 
Ni utawala mzuri sana , kiongozi analelea nchi kama roho yake sio hawa wa demokrasia ,wanataka vitu rahisi tu ...
 
Utajiri wa Ayatollah kupitia Execution of Imam Khomeini's Order (EIKO)/Setad unakadiriwa kuwa ni $billion 95.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…