Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Pole sana.
Ulipata ugonjwa mbaya unaowapata wengi na ugonjwa huu hupofusha, mtu haoni, hasikii wala hajijui.

Mapenzi.

Ungerudi nyuma kidogo kumchunguza huyo bwana ,lazima ungeona dalili za utapeli.
Kuwa mvumilivu, mtoto akizaliwa, kupitia ustawi wa jamii, pima DNA yako ,mtoto na baba.
Halafu dai hela ya matunzo.
 
Usisahau kaburi la mwenye mtoto lkn.. Viporo visije vikaliwa na chai ya rangi 😁
😊😊😊 hawezi chomoka kwenye mapenzi nitayo mpa . hujui tanga ndio penzi limezaliwa 😊😊
 
Kwa hiyo wanywa gongo hawana haki ya kuwa na watoto? Chambua maneno yako kabla hujaposti wangu. Maana comments zako zinadhihirisha yaliyojaa moyoni mwako. Maana kimtokacho mttu kinywani ndicho kilichojaa moyoni.
 
Huruma ya nini.. hawa viumbe sio wakuonea huruma wakatili na kivuli chao kujitetea ni uanamke.. always ata awe nani yang nasimama upande wa mwanaume so ww mleta mada ndo una matatizo sio mwana
 
Kwa hiyo wanywa gongo hawana haki ya kuwa na watoto? Chambua maneno yako kabla hujaposti wangu. Maana comments zako zinadhihirisha yaliyojaa moyoni mwako. Maana kimtokacho mttu kinywani ndicho kilichojaa moyoni.
Kwa comment hii inadhihirisha we ni mwanamke wa aina. I rest my case.


Pole yako Mungu akufanyie wepesi tu. 😎
 
Jitahidi kuhepa kutoa kauli batili kama hizi kwa watu wenyematatizo. usijisike fahari kuchochea maumivu kwa wengine wenye majanga.
Jitahidi kutumia akili ikuongoze na usiruhusu huruma ikuongoze, hasa kwenye huu mtandao wa fake ID.
Kwakifupi Jf member wamebadilika sana, na hauwezi kujua mkweli ni yupi na muongo ni nani.
Zamani watu walikua hawabadilishi au kuja na ID mpya kila wanapo kutana na changamoto, na hii ilisaidia walau member kutambua hata kidogo kuhusu mleta mada.
Hivi kwanza unamkumbuka Nyete...??
 
πŸ’―πŸ’―
 
🀣🀣🀣, kaa chonjo. Wanawake walioumizwa kihisia si wazuri kwa afya yako.
Niliwahi kukutana na mmoja akaniambia kwamba yeye anatembea akiwa moyo wake unamatobo ya kutosha, lakini watu wanamuona ni mrembo tena mzima wa afya....🀣 huyu aliniambia kwamba anatembea na majeraha yake...😎
 
Pole dada kwa changamoto unayo pitia kwasasa, kumbuka mimba mimba sio mlima na hili nalo litapita.
 
Mie ndio nimesiaha muelewe mrembo, litalo nikuta na liweeeπŸ˜…πŸ˜…
 
Unajishtukia tu au ni wewe? Umejuaje umri wangu umeenda na kwenye post sijataja umri. Acha kupika taarifa mbazo hazipo wangu. Kama una connection ya kazi nisaidie otherwise nashukuru kwa mchango wako.
Hujasema Mkoa uliopo, au nao ni private?
Tuma namba inbox nikufanyie interview.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…