Kwa miezi Saba hautaweza kufanya kazi, na hata ukipata kazi haitakusaidia Sana kiuchumi maana baada ya kujifungua mambo ni mengi my dear kulea mtoto ni gharama sana kifedha na support inahitajika, hauna ndugu? Ukijifungua nani atakuangalia maana uzazi una mengi.mimi nakushauri badala ya kazi ni Bora tu uombe support ya pesa itakayokusaidia kujifungua na kujitunza wewe na mtoto hasa miezi 6 ya mwanzo, yaani nakuhurumia ujue kulea sio rahisi ukiwa peke yako.Kama hautajali nitumie details zako inbox Kuna mtu nimshirikishe issue yako ni mdada pia anaweza kukusaidia, nitumie jina, mahali unapoishi, na namba ya simu maana anaweza kutaka kuja kukuona.Ila itakua sio kazi ni financial support tu.