ONYO: Wazazi hawaachanagi,,, usije kuleta thread ya kulia humu. Saizi atakubali kila sharti utalompa ili mradi umtatulie shda yake. Siku shida yake ikiisha ndo utajua rangi yake halisi.Mimi nikuhudumie kila kitu ila kwa sharti moja tu.
Mtoto atakuwa wangu, na mawasiliano na huyo bwege yakome
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]ONYO: Wazazi hawaachanagi,,, usije kuleta thread ya kulia humu. Saizi atakubali kila sharti utalompa ili mradi umtatulie shda yake. Siku shida yake ikiisha ndo utajua rangi yake halisi.
Nyoka halipi kodi, halipi bills, hanunui pampasi za mtoto sa ataanzaje kutelekeza watoto??Pole sana dada yangu, sio ajabu baada ya kujifungua Shem akarudi tena, asee wanaume wenzangu acheni kichaa, unatelekeza damu yako? Nyoka pamoja na ubaya wake wote hajawahi kutelekeza mtoto[emoji22]
Acha kutufananisha sisi wanaume na nyoka!!
Asante sanaWapigie hawa watakusaidia kaziView attachment 2676062
Kwenye Post sijaweka hili la kuhitaji mtu wa kunihudumua. Nahitaji kazi wapendwa naomba nieleweke.ONYO: Wazazi hawaachanagi,,, usije kuleta thread ya kulia humu. Saizi atakubali kila sharti utalompa ili mradi umtatulie shda yake. Siku shida yake ikiisha ndo utajua rangi yake halisi.
Kwenye Post sijaweka hili la kuhitaji mtu wa kunihudumua. Nahitaji kazi wapendwa naomba nieleweke hivyo. Endapo kuna koneksheni ya kazi naombeni sapotiONYO: Wazazi hawaachanagi,,, usije kuleta thread ya kulia humu. Saizi atakubali kila sharti utalompa ili mradi umtatulie shda yake. Siku shida yake ikiisha ndo utajua rangi yake halisi.
Kwahiyo mpaka apate pesa ndio abebe mimba, na asipopata pesa asibebe mimba mpaka anaingia kaburini[emoji848]Huna pesa ulibeba mimba ya kazi gani?
Ulienda kama umekatwa kichwa, sawa jiandae kulea.
Ukitaka kuzaa lazima ujue kuna kulea hivyo usitegemee kulia lia kama yatimaKwahiyo mpaka apate pesa ndio abebe mimba, na asipopata pesa asibebe mimba mpaka anaingia kaburini[emoji848]
Kayataka mwenyew 😂Duh mleta mada umesimangwa mpaka basi[emoji38][emoji38][emoji38]
Hebu tangaza tena bossNilitangaza kazi humu ukaingia mitini
Natafuta vijana wawili (me/me, me/ke, ke/ke)Hebu tangaza tena boss
Wewe ni malaika unayeishi duniani....hongera sanaMimi nikuhudumie kila kitu ila kwa sharti moja tu.
Mtoto atakuwa wangu, na mawasiliano na huyo bwege yakome
Niko darNatafuta vijana wawili (me/me, me/ke, ke/ke)
Vigezo
1.Nguvu
2. Uaminifu
3. Kuzingatia muda
Majukumu
Kufagia barabara, kusafisha mitaro,
300m kwa siku
Malipo
4.5k kila siku
Location tabora