Nimetelekezwa na ujauzito, natafuta kazi

Ishu ni kupata mtu ambaye tayari atajitoa kulea. Sio wote waliozisha mademu wana hela ila tu ule utayari wa kupambana na malezi ndio muhimu.
 
Always utakula ulipopeleka Mboga.
Sasa mtu akuajiri soon unajifungua si atabeba mzigo wote yeye ,huyo pimbi uliempa mbususu ndio kashakimbia
 
Shida watu hawataki kuambiwa ukweli we unaona Mwanaume kula yake shida,Vaa yake ni mtihani,Lipa yake kodi mpaka atishiwe notisii bado unaitegesha sindano huzioni au vidonge.
Inafikirisha sana tena nilitegemea wanawake wa kizazi hiki mchakarike kupunyua mi tajiri hela

Kuna vidada vina hongwa hela ya maana na mimba hawategeshi bado. Wanajijenga ki uchumi kwanza

Huyu mwenzetu sijui alidhani mimba ndo ingemfanya mwanaume amgande pole yake tu.....

Na inavyoonekana mtoa mada ni 30+ ana experience ya kutosha tu ipa ndo ivyo tena.....
 
Mna haki ila muwe na uwezo wa kulea sio baba jina😩
Hahahah ni kweli ila msitusimange makapuku wa jf bana kisa hatuna million 100 before 30 yrs 🤣🤣🤣! Tutalea tu kama baba zetu walivyotulea kibishi. Msitubague
 
Ishu ni kupata mtu ambaye tayari atajitoa kulea. Sio wote waliozisha mademu wana hela ila tu ule utayari wa kupambana na malezi ndio muhimu.
Kumbe umeelewa sasa mwanaume yeyote anayekimbia mimba naona huyo hana direction ya maisha....

Hawa wenzetu akili zao wanazijua tu wenyewe masingo maza napishana nao daily kwenye mi dala dala.

Najua wote hawajitakia ila 80% ni self choice....
 
Hahahahahah sasa mtu alikupanga anakuoa utajuaje atakataa mimba hata kama ni wewe🤣🤣🤣
 
Hahahah ni kweli ila msitusimange makapuku wa jf bana kisa hatuna million 100 before 30 yrs 🤣🤣🤣! Tutalea tu kama baba zetu walivyotulea kibishi. Msitubague
Huwa naumia sana ukipita ubungo unakuta watoto wadogo ni ombaomba,wengine wamejiingiza katika madawa hii yote ni kuzaa bila mipango halafu siku hizi kuzaa ni fashioni eti😬
 
Huwa naumia sana ukipita ubungo unakuta watoto wadogo ni ombaomba,wengine wamejiingiza katika madawa hii yote ni kuzaa bila mipango halafu siku hizi kuzaa ni fashioni eti😬
Wale madogo ni project za watu. Mimi sikuhizi nawafungia vioo tu nikifika pale mataa. Japo huenda wapo ambao wametupwa na wazazi.
 
Hio hela anapewa na nani🤣
 
Sema unaonekana upo ki steka sana🤣
 
Naomba namba yako inbox
 
Hahahah we kweli mafia aisee. Kumbe uliweka full beki kitu hakinasi🤣🤣🤣 sema ndio akili hizo. Usikubali kuwa fara!!!
 
Hiyo Khali mnawo wasichana wengi tu mkishapelekwa kwenye Lodge za elfu ishirin mnaona maisha rahisi mnajibebesha mimba huku hujui hata mtu anaish wapi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…