Niliwahi kukaka huko, aisee ni hatari sana huyu mwamba hajui kama hajuiTabora
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliwahi kukaka huko, aisee ni hatari sana huyu mwamba hajui kama hajuiTabora
Umefika Morogoro?Habari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.
Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.
Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.
Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)
THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
na sitakuja kuishi huko kwenu ng'oooAsante
Niliwahi kuumwa na joka kubwa saizi ya mkono wangu Wilayani Rombo kijiji cha Kirokomu mashambani, kama unakaribia Kiraeni, bahati nzuri lilinigonga kwenye kiatu. Nilikua huko masomoni form one.mkuu shule gan hiyo sio kili boys kweli hii mtoni kule nyuma ya shule ya msingi mto kuruuru
Mkuu umeishia darasa la NGAPI?Maana ni pakame
SureNdiyo maana nikamwambia hakuna mkoa ambao hauna nyoka as long as kuna mapori lazima wawepo....Kutokuwaona kwa macho yako haimaanishi hawapo maana nyoka wanajificha sana.
Hapo Mzakwe ni hatariiiiHapa hapa mjini au kondoa huko ndani ndani
Pole na bahati yako ila huwezi weka kilimanjaro kwenye list ya mikoa yenye nyoka wakali.....Tabora, Kigoma, Shinyanga, Nachingwea huko, Dodoma, Singida, Morogoro na Tanga na list goes on lakini Tabora na Kigoma ndiyo baba zao.Niliwahi kuumwa na joka kubwa saizi ya mkono wangu Wilayani Rombo kijiji cha Kirokomu mashambani, kama unakaribia Kiraeni, bahati nzuri lilinigonga kwenye kiatu. Nilikua huko masomoni form one.
Nakubaliana na wewe 100%Pole na bahati yako ila huwezi weka kilimanjaro kwenye list ya mikoa yenye nyoka wakali.....Tabora, Kigoma, Shinyanga, Nachingwea huko, Dodoma, Singida, Morogoro na Tanga na list goes on lakini Tabora na Kigoma ndiyo baba zao.
Kwa kilimanjaro ni same na hai ndo wapo ata wale wekundu huko hai.Nakubaliana na wewe 100%
Bado haujafika TaboraHabari za mida hii ndugu wananchi, kifupi mimi siyo mtaalamu wa wanyama ila ni mpenzi na mfuatiliaji wa masuala ya wanyama na makala zao kupitia TV na mitandao.
Nimetembea mikoa karibu yote Tanzania ila nimegundua kuwa dodoma ndo mkoa wenye NYOKA wengi hatari kuliko mikoa yote Tanzania. Pia nimekutana na watu wengine ambao pia wanadai dodoma hakufai, kisa wingi wa NYOKA.
Hii ni orodha ya nyoka ''HATARI" niliowaona kwa macho yangu katika ardhi ya Dodoma.
Koboko (black mamba)
Swila wa msituni (forest cobra)
Nyoka kijiti (twig snake)
Boomslang
Kifutu (puff adder)
Kifutu magamba (saw scalled viper)
Swila mweusi (spitting cobra)
THIBITISHENI AU BATILISHENI HILI KUHUSU DODOMA.
Mkuu siha wapo Kwa kina Dr Restart wapo wapo kuna sehemu wanapaita west KilimanjaroKilimanjaro moshi hakuna nyoka kuna vinyoka wadogo, wilaya ya hai wapo nyoka kiaina
Ndiyo mkuu wapoMkuu siha wapo Kwa kina Dr Restart wapo wapo kuna sehemu wanapaita west Kilimanjaro
Siha kuna sehemu ukitoka Ngarenairobi, ukifika Roseline. Kuna camp inaitwa Endarakwai.Mkuu siha wapo Kwa kina Dr Restart wapo wapo kuna sehemu wanapaita west Kilimanjaro
Ndiyo mkuu wapo
Majina ya maeneo siyajui sana tulifata karoti kule, katika kutembea tembea kidogo kwenye majani marefu nlikanyaga nyoka mkubwa aiseee nlitoka nduki nimefika sehemu plain miguu inatetemeka siamini kama nipo salamaSiha kuna sehemu ukitoka Ngarenairobi, ukifika Roseline. Kuna camp inaitwa Endarakwai.
Hapo kuna nyoka kibao. Ila si wengi sana. Kuna mpaka chatu. Ila si wale nyoka hatari.
Daah kuna nyoka ukiwagusa ni hatariMajina ya maeneo siyajui sana tulifata karoti kule, katika kutembea tembea kidogo kwenye majani marefu nlikanyaga nyoka mkubwa aiseee nlitoka nduki nimefika sehemu plain miguu inatetemeka siamini kama nipo salama
Yule nilimkanyaga lakini hakureact ila kwangu adrenaline ikafanya yake 'flight & fight' mwendo wa ngiriDaah kuna nyoka ukiwagusa ni hatari