Nimetembelea shule inayoitwa 'Indian School Dar es Salaam'. Nimegundua wahindi wametuzidi akili sana

Nakuhakikishia hata wangekuwepo watanzania milioni moja London kufanya kitu kama hicho hatuwezi. Wahindi wako organised kishenzi na tembelea nchi nyingi uone. Siyo kama sisi!
 
Naantombe mushi ,vilaza hata USA wapo pia,wahindi wametuzidi kila kitu,justification ya hii maneno inaweza isikuingie sana,lakini hakuna namna yakupinga hili
 

MKuu achana nae huyo, Waafrica ujinga unatutesa sana
 
Hivi uko Marekani utake mtaala wa Tanzania si utakuwa umepungikiwa akili jamani ama?
 
We jamaa,hvivyo ni vitu vya kawaida ssana,hakuna Cha ajabu,uwezo wa akili haufati,dini,Race,kabila,hili lilishathibitishwa zamani sana,kama sie weusi harufanyi kama wao,ishu sio weusi wetu,
Maana kama weupe ni akili,mbona Spain nchi ilifirisika kabisa mpaka ikaomba msaada kutoka USA,na ni nchi ipo ulaya,Uturuki ni nchi ya kiislam,lakini imeendelea kama zingine za ulaya,lakini mbona,misri,moroco,Tunisia,somalia,nchi za kiislam hazina maendeleo!!
Kamsome Ben Carson kwenye kitabu,"gifted hands"atakueleza akili sio rangi ya ngozi!!!
Acha fikra za kikoloni
 
Tupo katika ukoloni yaani elimu za kibaguzi
Huo ni uongo hakuna ukoloni hapa,bali wenzetu wanajituma na wana malengo, sisi akili yetu ipo kwenye vigodoro,kutwa kuchangia harusi za mamilioni, baby shower za mamilioni na ulimbukeni wa kujenga mahekalu na kununua ma VX, wacha tubaki na kucheza filamu zetu kutangaza nchi kwa kutumia mabilioni badala ya kujenga mashule. Tungeamua hizo tozo tu za miamala zingewezesha kujenga shule nzuri sana lakini badala ya kuanzisha shule tunaanzisha timu za mpira, tozo zinaenda anzisha timu ya mpira ambako hata hakuna shule ya maana hata moja.
 
Kuweka shule yao ndani ya nchi ambayo sio yao ni kipimo cha akili. Je Tanzania tuna shule yeyote nje ya Tanzania inayopelekewa mitihani ya necta?
Tatizoa NECTA uzushi mtupu hawana Curriculum sasa watapeleka nini?
 
sa we unazani ukieka mtaala wa TZ huko nchi za wenzetu nani atasoma?mtaaka mbovu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…