Nimetembelea shule inayoitwa 'Indian School Dar es Salaam'. Nimegundua wahindi wametuzidi akili sana

Nimetembelea shule inayoitwa 'Indian School Dar es Salaam'. Nimegundua wahindi wametuzidi akili sana

Mwandishi huna akili. Au zipo kidogo. Mimi naifahamu hiyo shule sijaona ambacho wametuzidi sisi wenye akili, akili. Ila wewe ambaye unazo kidogo unaona wamekuzidi akili. Hakuna cha ajabu hapo.
Hiyo hali ya u much know na kutoku appreciate wenzako ndio dalili ya upungufu wa akili kichwani.
 
Kwa andiko lako ni kipi kinachoonyesha wahindi wamewazidi akili?
ulishawahi kuona mhindi anayejielewa anaishi kimara temboni au pugu kajiungeni?.

umewahi kujiuliza kwanini kila mkoa tz hii, wahindi wanaishi katikati ya mji kunakofikika kiurahisi na kunakopatikana kiurahisi mahitaji muhimu ya kibinadamu?.

unataka upewe jibu gani lingine kuhusu namna wahindi walivyotuzidi akili?.
 
Kwa andiko lako ni kipi kinachoonyesha wahindi wamewazidi akili?
Ninachojua kuhusu hiyo shule,watoto Wana fujo Kuzidi ngedere..Asikwambie mtu,ukiwa dereva wa zile eicher zao inabidi uvute bangi ili uwamudu wale watoto😅😅 vinginevyo unaweza kupata kesi ya kuwatia makwenzi kila siku😅😅

Alafu vina kelele Sana vikiwa ndani ya gari na kwenye ale madarasa Yao.Kelele unaanza kuzisikia kuanzia ground floor Hadi ghorofa ya pili,madarasa yote😅
 
Tanzania hatufanyi hivo ndio kwa sababu hatuna sababu ya kufanya hivo kwa sababu hatuna expatriate wengi wa kitanzania wanaofanya kazi nje ukilinganisha na wahindi....

Kwahiyo wahindi kuwa na shule yao hapa sioni kama ni kipimo haswa cha akili..
Hata kama ni kweli hatuna expatriates wengi nje, sisi tupo tayari na tunaona fahari kujifunza chochote cha huko…. ila jamii kama Wahindi wanaamini katika kulinda mila zao.
 
Kuna waalimu waafrika hapo ila kabla ya kufundisha wanawatrain pia hata wanafundishwa kuzungumza kiingereza chenye lafudhi ya kihindi.
Kuna nyingine pia wanafundisha masomo kidogo na sports kwa sana watoto baada ya muda mfupi wanaenda nje kuendelea na sports. Waafrika wapo ila wachache
Ipi hiyo ya sports ni mpeleke junior wangu.

#MaendeleoHayanaChama
 
Wewe tudanganye tu ila nina uhakika umesimuliwa na wewe umekuja kutusimulia uongo humu ukidhani hiyo shule hatuijui na hatuna access nayo... Kwanza kuna walimu wa Kitanzania na kuna wanafunz baadhi wa Kitanzania... Kuhusu Mtaala sio big deal sisi Tz tunapokea watu waliosoma kutoka nchi mbalimbali kwa mitaala yao kama sisi tunavyo pokelewa kufanya kazi au kusoma pamoja kwamba tumesoma kwa kutumia mitaala ya Tanzania...
Sasa kwa akili zako unadhan hapo wametuzid nini, ni hayo majengo ambayo hata shule zetu za kata yapo..? au ni hao walimu wa kihindi wasiojua English..?
 
Alfu Kuna mijitu wnataka watoto wafundishemi kwa kiswahil
 
Kama ulikuwa unataka tu Kujimwambafai ( Kujipalilia Minyama ) kuwa nawe Unasomesha Mtoto Shule ya Gharama ya Wahindi Koko hao na kwamba una Hela ( Umeukata Kimaisha ) wala hukuwa na Haja ya Kuzunguka njia ndefu hivi ( kwa Maelezo yako haya marefu ) bali ungesema tu Moja kwa Moja na tungekuelewa sawa?

Wapi nimesema nasomesha mtoto hapo. Na je kutembelea shule kuna gharama yoyote inalipiwa?
 
ulishawahi kuona mhindi anayejielewa anaishi kimara temboni au pugu kajiungeni?.

umewahi kujiuliza kwanini kila mkoa tz hii, wahindi wanaishi katikati ya mji kunakofikika kiurahisi na kunakopatikana kiurahisi mahitaji muhimu ya kibinadamu?.

unataka upewe jibu gani lingine kuhusu namna wahindi walivyotuzidi akili?.
kwahiyo wanaoishi kimara temboni, pugu kajiungeni na katikati ya miji hawana akili?
nakubali wametuzidi akili ila sio kwa hizi facts za makazi.
 
Habari wadau.

Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm.

Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao ; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo.

Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu. Yaani shule nzima kuanzia wanafunzi mpaka walimu ni wahindi tupu. Sikuona mwanafunzi mweusi hata mmoja.

Ada yake kwanza ni around milioni 10 kwa mwaka bila usafiri ( hiyo chekechea tu na msingi madarasa ya chini). Na sylabus inayofundishwa ni ya India. Yaani mitihani wanayofanya hapo wanapomaliza ni mtihani wa taifa wa india. Ni sawa kuwe na shule inayoitwa Tanzanian school ijengwe india ama marekani then necta wawe wanapeleka mitihani yao ile ile inayofanywa na shule zote Tanzania.

Mazingira ya shule ni mazuri sana na hata macho yanatambua kwamba shule ni quality ya juu.

Maelezo yao ni kwamba shule hii imejengwa hapa dar es salaam sababu ya kusaidia indian expart wanaokuja na familia zao wasipate shida pa kusomesha watoto. Na mtaala wameweka wa india sababu ndio wameuzoea.

Nikawaza je wa Tanzania ama Serikali ya Tanzania tuna uwezo wa kuweka shule yetu ya necta nje ya Tanzania. Na mitihani tukawa tunawapelekea
Hapo bongo tu serikali imeshindwa kutatua changamoto za elimu ya watoto wenu then umelala tu umeamka unashauri serikali wafungue matawi ya shule za Tanzania nje ya nchi, unaduwaza kweli kweli...
 
Sioni kwa kufanya hivo wametuzidi akili kivipi... wahindi nimefanya nao kazi sana..

Nikuhakikishie tu kwamba wengi wao pia ni vilaza. Ila pia kama kawaida kuna vipanga.

Walichotuzidi zaidi ni English tu... ila kwingine tupo level... naongea hivi nikiwa nimesoma mtaala wa elimu wa kitanzania kuanzia vidudu
Hao wadosi wanokunywa mikojo ya ngombe huko kwao ndio watuzidi akili?
 
Tupo katika ukoloni yaani elimu za kibaguzi
Ufafanuzi mzuri. Ni mahususi kwa maafisa wa india ambao wanakuja bongo kufanya kazi kwa mkataba ama ubalozi ambao baada ya muda wanarudi kwao baada ya mikataba kuisha. Means watoto wao wakifika kule wanaendelea tu na syllabus.
 
Mkuu tukatae tukubali wahindi wametutangulia kwa mfano pamoja na kuwa US kwa mfano kuna wahamiaji kutoka afrika wengi lakini si wengi wapo kwenye nafasi za juu kwenye MNC na International org. hapa nazungumzia mfano Google unamkuta Sundar Pichai, Nenda Pepsico kuna yule mmama wa kihindi, nenda USAID alikuwepo Rajiv, Nenda IMF napo kuna muhindi yule lecture wa harvard, Harvard kuna course inaitwa financial engineering aisee wamejaa wahindi, mkuu wa dep inayotoa hiyo course ni mhindi tena wale black, kwenye engineering, IT, medical, bness wamejaa tena wale vipanga wa kufa mtu.
Huwezi shinda na Taifa la watu walio bilioni na ushee.

Huku mataifani wanaonekana wako vizuri lakini huko kwao hakuna uafadhali wowote.

Wengi wao wanaishi maisha ya kifukara sana.

Taifa lao Lina GDP,zana za kisasa,lakini wengi wa raia wake ni masikini wakutupwa.

Kwanza wao wenyewe Wana matabaka yao kwa msingi ya Rangi.

Hii race ya kihindi huna lolote la maana unaweza jifunza kwao.

Vitu cringe hapa bongo

Tatizo kubwa la hii nchi ni uongo usio serious na future ya nchi Kila mtu anawaza kuwa rais au mwanae awe rais kwa vyovyote vile hata kuiba au kuhatarisha usalama wanchi au kwa kuuza rasilimali za nchi.

Tanzania tungekuwa serious na nchi yetu hapa afrika tulipaswa tuwe first economy sio watu wa kulialia kwa WB au IMF.

anyway wahindi huwa sinaga huruma nao.
 
Ma-programmer , Engineer na wengi kwenye sekta ya sayansi wanatokea India,
Ukijaribu ku-check kwenye vitengo vya sayansi vya nchi kubwa kubwa ( USA , Australia , UK , China ) kuna Wahindi.

Hawa jamaa ni kama Waisraeli , ni very talented. Wakiingia katika nchi yako wape muda utawakuta kwenye vitengo muhimu
 
Mkuu tukatae tukubali wahindi wametutangulia kwa mfano pamoja na kuwa US kwa mfano kuna wahamiaji kutoka afrika wengi lakini si wengi wapo kwenye nafasi za juu kwenye MNC na International org. hapa nazungumzia mfano Google unamkuta Sundar Pichai, Nenda Pepsico kuna yule mmama wa kihindi, nenda USAID alikuwepo Rajiv, Nenda IMF napo kuna muhindi yule lecture wa harvard, Harvard kuna course inaitwa financial engineering aisee wamejaa wahindi, mkuu wa dep inayotoa hiyo course ni mhindi tena wale black, kwenye engineering, IT, medical, bness wamejaa tena wale vipanga wa kufa mtu.
Cheif ndo mana nikakuambia kuna vipanga ndio ila sio kwa namna wewe unavowapaisha.

Hao wahindi unawasifia.. wapo duniani zaidi ya bilioni moja ila ukienda India majority ni maskini wa kutupa.

Ungeniambia wachina wana akili ningekuelewa kidogo maana wamefanya maajabu duniani hata US wenyewe wanawakubali wachina..

Wahindi unawasifia ila ni watu wanatabia za ajabu sijapata kuona.. kwanza ustaarabu sifuri halafu wachafu kiseng.e
 
Kwenye top position kwa US ukilinganisha indians na africans indians ni wengi
hivi unaangalia facts kwamba jamii ya wahindi wapo zaidi ya bilioni mona ulimwenguni? ... Kwahiyo kuwa na wahindi wengi US sijui na ulaya hiyo ni kawaida.. na ukumbuke ni % ndogo sana ya jamii ya wahindi...
 
Back
Top Bottom