Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Ni wapi umebaguliwa? Uko na pesa peleka mwanao popote.Tupo katika ukoloni yaani elimu za kibaguzi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni wapi umebaguliwa? Uko na pesa peleka mwanao popote.Tupo katika ukoloni yaani elimu za kibaguzi
Hiyo hali ya u much know na kutoku appreciate wenzako ndio dalili ya upungufu wa akili kichwani.Mwandishi huna akili. Au zipo kidogo. Mimi naifahamu hiyo shule sijaona ambacho wametuzidi sisi wenye akili, akili. Ila wewe ambaye unazo kidogo unaona wamekuzidi akili. Hakuna cha ajabu hapo.
ulishawahi kuona mhindi anayejielewa anaishi kimara temboni au pugu kajiungeni?.Kwa andiko lako ni kipi kinachoonyesha wahindi wamewazidi akili?
Ninachojua kuhusu hiyo shule,watoto Wana fujo Kuzidi ngedere..Asikwambie mtu,ukiwa dereva wa zile eicher zao inabidi uvute bangi ili uwamudu wale watoto😅😅 vinginevyo unaweza kupata kesi ya kuwatia makwenzi kila siku😅😅Kwa andiko lako ni kipi kinachoonyesha wahindi wamewazidi akili?
Hata kama ni kweli hatuna expatriates wengi nje, sisi tupo tayari na tunaona fahari kujifunza chochote cha huko…. ila jamii kama Wahindi wanaamini katika kulinda mila zao.Tanzania hatufanyi hivo ndio kwa sababu hatuna sababu ya kufanya hivo kwa sababu hatuna expatriate wengi wa kitanzania wanaofanya kazi nje ukilinganisha na wahindi....
Kwahiyo wahindi kuwa na shule yao hapa sioni kama ni kipimo haswa cha akili..
Tupo katika ukoloni yaani elimu za kibaguzi
Hiyo hali ya wewe kutokujua kitu na umbumbumbu ndiyo dalili ya ukosefu wa akili kichwani.Hiyo hali ya u much know na kutoku appreciate wenzako ndio dalili ya upungufu wa akili kichwani.
Ipi hiyo ya sports ni mpeleke junior wangu.Kuna waalimu waafrika hapo ila kabla ya kufundisha wanawatrain pia hata wanafundishwa kuzungumza kiingereza chenye lafudhi ya kihindi.
Kuna nyingine pia wanafundisha masomo kidogo na sports kwa sana watoto baada ya muda mfupi wanaenda nje kuendelea na sports. Waafrika wapo ila wachache
Kama ulikuwa unataka tu Kujimwambafai ( Kujipalilia Minyama ) kuwa nawe Unasomesha Mtoto Shule ya Gharama ya Wahindi Koko hao na kwamba una Hela ( Umeukata Kimaisha ) wala hukuwa na Haja ya Kuzunguka njia ndefu hivi ( kwa Maelezo yako haya marefu ) bali ungesema tu Moja kwa Moja na tungekuelewa sawa?
kwahiyo wanaoishi kimara temboni, pugu kajiungeni na katikati ya miji hawana akili?ulishawahi kuona mhindi anayejielewa anaishi kimara temboni au pugu kajiungeni?.
umewahi kujiuliza kwanini kila mkoa tz hii, wahindi wanaishi katikati ya mji kunakofikika kiurahisi na kunakopatikana kiurahisi mahitaji muhimu ya kibinadamu?.
unataka upewe jibu gani lingine kuhusu namna wahindi walivyotuzidi akili?.
Hapo bongo tu serikali imeshindwa kutatua changamoto za elimu ya watoto wenu then umelala tu umeamka unashauri serikali wafungue matawi ya shule za Tanzania nje ya nchi, unaduwaza kweli kweli...Habari wadau.
Leo nimetembelea shule ya msingi na sekondari inayoitwa Indian School iliyopo kurasini Dsm.
Dhumuni la kutembelea ilikuwa kujua utaratibu wao ; mtaala gani wanafundisha na gharama za ada kama nikitaka mwanangu aende akasome hapo.
Baada ya kufika nilipokelewa na wahindi tupu. Yaani shule nzima kuanzia wanafunzi mpaka walimu ni wahindi tupu. Sikuona mwanafunzi mweusi hata mmoja.
Ada yake kwanza ni around milioni 10 kwa mwaka bila usafiri ( hiyo chekechea tu na msingi madarasa ya chini). Na sylabus inayofundishwa ni ya India. Yaani mitihani wanayofanya hapo wanapomaliza ni mtihani wa taifa wa india. Ni sawa kuwe na shule inayoitwa Tanzanian school ijengwe india ama marekani then necta wawe wanapeleka mitihani yao ile ile inayofanywa na shule zote Tanzania.
Mazingira ya shule ni mazuri sana na hata macho yanatambua kwamba shule ni quality ya juu.
Maelezo yao ni kwamba shule hii imejengwa hapa dar es salaam sababu ya kusaidia indian expart wanaokuja na familia zao wasipate shida pa kusomesha watoto. Na mtaala wameweka wa india sababu ndio wameuzoea.
Nikawaza je wa Tanzania ama Serikali ya Tanzania tuna uwezo wa kuweka shule yetu ya necta nje ya Tanzania. Na mitihani tukawa tunawapelekea
Hao wadosi wanokunywa mikojo ya ngombe huko kwao ndio watuzidi akili?Sioni kwa kufanya hivo wametuzidi akili kivipi... wahindi nimefanya nao kazi sana..
Nikuhakikishie tu kwamba wengi wao pia ni vilaza. Ila pia kama kawaida kuna vipanga.
Walichotuzidi zaidi ni English tu... ila kwingine tupo level... naongea hivi nikiwa nimesoma mtaala wa elimu wa kitanzania kuanzia vidudu
Ufafanuzi mzuri. Ni mahususi kwa maafisa wa india ambao wanakuja bongo kufanya kazi kwa mkataba ama ubalozi ambao baada ya muda wanarudi kwao baada ya mikataba kuisha. Means watoto wao wakifika kule wanaendelea tu na syllabus.Tupo katika ukoloni yaani elimu za kibaguzi
Huwezi shinda na Taifa la watu walio bilioni na ushee.Mkuu tukatae tukubali wahindi wametutangulia kwa mfano pamoja na kuwa US kwa mfano kuna wahamiaji kutoka afrika wengi lakini si wengi wapo kwenye nafasi za juu kwenye MNC na International org. hapa nazungumzia mfano Google unamkuta Sundar Pichai, Nenda Pepsico kuna yule mmama wa kihindi, nenda USAID alikuwepo Rajiv, Nenda IMF napo kuna muhindi yule lecture wa harvard, Harvard kuna course inaitwa financial engineering aisee wamejaa wahindi, mkuu wa dep inayotoa hiyo course ni mhindi tena wale black, kwenye engineering, IT, medical, bness wamejaa tena wale vipanga wa kufa mtu.
Cheif ndo mana nikakuambia kuna vipanga ndio ila sio kwa namna wewe unavowapaisha.Mkuu tukatae tukubali wahindi wametutangulia kwa mfano pamoja na kuwa US kwa mfano kuna wahamiaji kutoka afrika wengi lakini si wengi wapo kwenye nafasi za juu kwenye MNC na International org. hapa nazungumzia mfano Google unamkuta Sundar Pichai, Nenda Pepsico kuna yule mmama wa kihindi, nenda USAID alikuwepo Rajiv, Nenda IMF napo kuna muhindi yule lecture wa harvard, Harvard kuna course inaitwa financial engineering aisee wamejaa wahindi, mkuu wa dep inayotoa hiyo course ni mhindi tena wale black, kwenye engineering, IT, medical, bness wamejaa tena wale vipanga wa kufa mtu.
hivi unaangalia facts kwamba jamii ya wahindi wapo zaidi ya bilioni mona ulimwenguni? ... Kwahiyo kuwa na wahindi wengi US sijui na ulaya hiyo ni kawaida.. na ukumbuke ni % ndogo sana ya jamii ya wahindi...Kwenye top position kwa US ukilinganisha indians na africans indians ni wengi