Nimetembelea shule za Dar es Salaam wanafunzi bado wanakaa chini mchangani, sijui mikoani kukoje!

Ni wakati wa kupuuza hayo yote aliyosema.
Kuna rais aliponda matumizi ya Contraceptives pia akahimiza watu wazaane mpaka mayai tumboni yaishe na akiahidi atatoa huduma zote bure huku Waziri wa Afya naye akikazia kwa kupiga makofi na meno nje nje... imekuwaje leo twashangaa population yetu?
 
Wanafunzi wa shule za msingi sehemu kubwa wanakaa chini,japo siungi mkono Ila nakumbuka nimekaa chini Hadi STD 3 lakini inshaalah nikitoboa shule.
 
Fanyeni, semeni, payukeni, andikeni lakini mama tena muislamu ni rais mpaka 2030

Na huo ndio ukweli,
Na akimaliza sasa ndio tunaanza rasmi awamu ya muislam, kwani hii tulikuwa tunamalizia ya mkatoliki
 
Tatizo lingine kubwa la nchi hii ni overpopulation. Kama kasi ya ukuaji idadi ya watu haitadhibitiwa ili iendane na kasi ya ukuaji uchumi madarasa na madawati hayatakaa yatoshe.
Tanzania bado watu ni wachache, twahitajika kufikia angalau milioni 85 2030

Dar yenyewe bado inadai watu milioni 5
 
Hebu tuletewe na wanafunzi wa SMZ je tupo sare sare kwa hali zetu? Tunataka tujue sisi sote kama raia wa Jamuhuri ya muungano wa TZ.
Kule wanafunzi ni wachache hawafiki 100,000
 
Hudumieni kwanza hawa millioni 60 waishi kama binadamu wa karne 21 kabla ya kuongeza hao wengine milioni 25.
Tanzania bado watu ni wachache, twahitajika kufikia angalau milioni 85 2030

Dar yenyewe bado inadai watu milioni 5
 
Inatakiwa kila mzazi ahakikishe mtoto wake ana dawati la kukalia shuleni. Ukipeleka mtoto shule unapeleka na dawati. Kazi ya serikali iwe ni majengo na walimu.
Miti ya mbao ipo mingi Tanzania tunafeli wapi? Hapo hatujaja kwenye mkakati wa serikali wa kugawa tablet kwa wanafunza, kama hili la madawati tumeshindwa karne ya 21.
 
Hudumieni kwanza hawa millioni 60 waishi kama binadamu wa karne 21 kabla ya kuongeza hao wengine milioni 25.
Kila mtu ajihudumiwe mwenyewe.
Kama huna uwezo wa kuzalisha pita kushoto
 
Inatakiwa kila mzazi ahakikishe mtoto wake ana dawati la kukalia shuleni. Ukipeleka mtoto shule unapeleka na dawati. Kazi ya serikali iwe ni majengo na walimu.
Halafu Kodi zetu zinunue magari ya milioni 600 kwa ajili ya Mwigulu Nchemba na wakuu wa mikoa?

We pay taxes, the government must play it's part.
 
Kwani Dar siyo mkoani ? Unatuletea story iliyochoka
 
Sasa hawa maafisa elimu wa Kata, Tarafa na Wilaya kazi yao ni nini hasa ikiwa hawawezi kusimamia idadi sahihi ya wanafunzi kwa shule? Anyway najua wao wako interested na kudahili tuu lakini siyo quality of the education given.
 
Darasa moja ni 30 milioni sasa 600 milioni itakuwa mangapi hapo?
 
WANANUNUA MA V 8 YA MILIONI 500.

SELIKALI CORRUPT INASHINDWA HATA KUWA NA MISITU YA MITI KWAAJILI YA KUTENGENEZEA MADAWATI.

KUMNYOK!!!*++#
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…