Mburu kidudu
JF-Expert Member
- Jun 7, 2016
- 532
- 541
Huyo mleta Mada atakuwa mwalimu wa upe Sasa mikowani inakujaje hapo kwaiyo dar sio mkoa nini tuanzie hapo ndo tuje kwenye madawati na sakafu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walimu wa UPE wote walishastaafu. Mwisho wa kuajiri walimu wa UPE ilikua 82/83. Hakuna MTU aliyeajiriwa 83 ambaye bado Yuko kazini.Huyo mleta Mada atakuwa mwalimu wa upe Sasa mikowani inakujaje hapo kwaiyo dar sio mkoa nini tuanzie hapo ndo tuje kwenye madawati na sakafu
Zile hela zilipigwa balaa. Yani serikali hii ya Bibi, watu wanajipimia kweli kweli.Zile pesa va uviko 19 zilikwenda wapi !. kuuliza ruska maana bado ugonjwa unatafuna watu
Dar sio mkoaKama Dar hali iko hivi unategemea huko mikoani hali itakuwaje?
Unataka kusema nini?Dar sio mkoa
Watu waliozaliwa Dar na kukulia Dar bila kutembea sehemu zingine wanchukulia mikoa mingine kama ni mbuga za wanyama.Kama Dar hali iko hivi unategemea huko mikoani hali itakuwaje?
Duh ulisoma hapo sio mkuu au?,nimepajua hapo kutokana na kijiwe changu fulani cha mojo moto moja baridi kilikiwa kinatazamana na hizo schoolsShule ziko mbili. Mbezi Luis na Upendo. Kipindi Cha mwl Wakili ilikua shule moja. Alipoondoka kaja Mbisho (RIP) KIpindi Cha Mbisho ikaonekana shule Ni kubwa Sana hivyo wakaigawa. Mbisho akabaki Mbezi na mama Bohela akapewa Upendo. Bohela alipostaafu shule ikawa na Zani. Zani alipohamishwa ndio kaja zipu wazi. Huyu anakaa ofisini na mchepuko wake ambao Ni mke wa MTU. Kazi zoote zinazohusu pesa, mchepuko ndio unasimamia. Hata kuandikisha watoto wapya. (Kuandikisha watoto Ni bonge la dili) kuuza t sheti n.k.
Mbezi Luis iko njema kabisa.
Huyu atakuwa ni mwalimu was hiyo shule anatamani kuwa mchepuko was mwalimu mkuuDuh ulisoma hapo sio mkuu au?,nimepajua hapo kutokana na kijiwe changu fulani cha mojo moto moja baridi kilikiwa kinatazamana na hizo schools
Wameambiwa wasio na uniform wavae za primary.Na hivi wameambiwa waende bila hata uniform basi tabu tupu, nchi imejaa siasa nyingi kuliko uhalisia wa mambo INASIKITISHA SANA.
KumbeeeHuyu atakuwa ni mwalimu was hiyo shule anatamani kuwa mchepuko was mwalimu mkuu
Mimi nimesoma pale enzi za mwl Wakili halafu wanangu wanasoma pale Wana Ni keep up todate ndio maana napajua vizuri, isitoshe makazi yangu sio mbali na hapo.Huyu atakuwa ni mwalimu was hiyo shule anatamani kuwa mchepuko was mwalimu mkuu
Sasa si uende manispaa?hapa umeleta issue ya watoto kukaa chini au mchepuko wa boss?Mimi nimesoma pale enzi za mwl Wakili halafu wanangu wanasoma pale Wana Ni keep up todate ndio maana napajua vizuri, isitoshe makazi yangu sio mbali na hapo.
Ni sisi ambao wanetu wanasoma pale ndio tunaumia. Wewe Kama mwanao anasoma English medium mshukuru Mungu na uache dharau.
Kama wahusika watajirekebisha, hakuna haja ya kwenda manispaa. Kama hawata jirekebisha wazazi tutaleta data, tarehe na picha.Sasa si uende manispaa?hapa umeleta issue ya watoto kukaa chini au mchepuko wa boss?
Ndiyo hayupo tena ndiyo madhara ya kutegemea mtu na sasa hivi nchi imefunguliwa wanyama wana kodishiwa ndege ya kuwapeleka Omani na Dubai, uku watoto wetu wana kaa chiniKuna rais aliponda matumizi ya Contraceptives pia akahimiza watu wazaane mpaka mayai tumboni yaishe na akiahidi atatoa huduma zote bure huku Waziri wa Afya naye akikazia kwa kupiga makofi na meno nje nje... imekuwaje leo twashangaa population yetu?
Hiyo sehemu mkuu wa wilaya yupo mbunge yupo mea yupo serikali ya mitaa wapo,hawana habari sababu watoto wao wanasoma shule za matajiriLeo nimepita shule ya msingi Upendo iliyopo Mbezi Luis jijini Dar es Salaam. Kwanza shule ina wanafunzi wengi kuliko uwezo wa madarasa mpaka wanaingia kwa shift.
Pili shift husika inabeba wanafunzi wengi mpaka wengine wanakaa chini tena sio chini kwenye sakafu, ni chini kwenye mchanga. Unaweza kusema labda wamechelewa kumalizia sakafu kipindi hiki cha kufungua shule, madarasa yamechakaa yakionekana ni ya muda mrefu bila kuwekwa sakafu. Mwalimu hawezi kupata morali ya kufundisha kwenye madarasa hayo na ratiba iliyomzidia.
Hivi ule mkopo wa benki ya dunia ndio walisema wamepeleka kwenye madarasa? Na pesa za Tozo wakasema zinaingia humohumo..
View attachment 2476017
Pichani ni wanafunzi wa darasa la 3C shule ya msingi Upendo iliyopo Mbezi Luis Dar es Saalam wakiendelea na vipindi baada ya shule kufunguliwa