Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Peleka utapeli wako huko kisumKwa mara ya kwanza nimemuona Mjamaa anaekula na kumaliza leo.
Wajamaa wenzako wanamsimamo mkali mno sasa sijui ww mjamaa wa wapi au Mswahisi?😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Peleka utapeli wako huko kisumKwa mara ya kwanza nimemuona Mjamaa anaekula na kumaliza leo.
Wajamaa wenzako wanamsimamo mkali mno sasa sijui ww mjamaa wa wapi au Mswahisi?😂😂
Wewe unajenga upande huu, at the same time viongozi wako wanabomoa upande mwingine, utafanyaje? Utaendelea kujenga? Ama utahakikisha kwanza kuwa kile unachokijenga hakibomolewi? FYI wakati wewe unatungiwa sheria za kukukamua wanasiasa wanapanga kuagiza land cruiser 400 za kuwatembeza popote wanapotaka kwenda, wanajilipa mishahara ya kufuru,wanajengeana majumba ya kufuru,wanapeana posho zisizo na sababu,wamekuwekea na sheria ya kuwalipa wake au waume zao ambao wapo majumbani tu wame relax,bima za maisha,afya,na mali zao unawalipia wewe, wao hawawajibiki kulipa kodi yoyote, wala kupanda au kushuka kwa gharama za maisha hakuwahusu wao, yaani wao ni kula, kunywa,kuongea kidogo, na kusafiri popote kwa gharama zako, huoni uchungu wewe?? Basi wewe ni mtu wa ajabu kabisa.Nenda huko kwenye prukushani mwenyeweee. Tuachie tuijenge tanzania kwa uzalendo na mshikamano. Kwakuwa huna cha kupoteza ndiomaana unabwabwaja tuuu.
Hayo mataifa yako Africa??? Ndo upumbavu wa watanzania reasoning zao ni za kifala kweli kweli, huyu huenda ni graduate kabisaChina wanazungumza kiingereza,? Japan wanazungumza kiingereza? South Korea wanazungumza kiingereza? Russia wanazungumza kiingereza? North Korea wanazungumza kiingereza? Malaysia wanazungumza kiingereza? Singapore wanazungumza kiingereza? Matafaifa yapo mengi yasiyozungumza kiingereza na yemeendelea vizuri sana, Lugha sio kikwazo , Maendeleo ni Mfumo uliopo #
Kwani kuna mahali kwenye uzi mleta uzi amezungumzia English kama unifying tool?? Hiyo Uganda yenyewe theluthi mbili tu ya raia ndio wanajua English, kuna mamilioni wanajua lugha zao za kikabila tu.Ooh kumbe but they speak English right? Sasa kama English imetumika kama kigezo cha kujitambua na ukombozi kifikra kwanini wanakuwa na ukabila?Kwanini English isiwe unifying tool huko Nigeria na Uganda?
SIyo Tanganyika tu, dunia nzima inawasifu wakenya kwa ujasiri waliouonyesha, kasoro bibi na babu zangu wasiojua chochote zaidi ya neno Amani.Sasa usilalamike endelea kusifia wakenya Hilo tu ndo mnaweza watanganyika.
Hiyo ni heshima kubwa kabisa wamekupa mkuu, you are extraordinary.Ndo Tatizo letu sisi Watanzania, yani watu tunazungumza mambo mahimu, wanaanza kukukosoa kwamba hoo sio mbongo.
Kama mimi Tayari wanaanza kujiambia mimi mkenya , duuu
Mada inazungumzia na kulinganisha mataifa na lugha mbili tu, machawa wanaingiza lugha zisizokuwa kwenye mada ya msingiHayo mataifa yako Africa??? Ndo upumbavu wa watanzania reasoning zao ni za kifala kweli kweli, huyu huenda ni graduate kabisa
Kumbe nawewe umeliona, kuna machawa akili zao zijui ziko je?Mada inazungumzia na kulinganisha mataifa na lugha mbili tu, machawa wanaingiza lugha zisizokuwa kwenye mada ya msingi
Hiyo sio point kama umekaa uingereza utajua ninachosema.Nchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.
Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake. Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.
Hali inayoendelea Kenya kisiasa na kiuchumi haitofautiani na ya Tanzania. Wizi, ufisadi na rushwa kwa viongozi vimetamalaki katika nchi zote mbili ila kuna tofauti ya jinsi ya kukabiliana nayo.
Wakenya wana uthubutu wa kusema ukweli hadharani, kujitokeza na kuupinga uovu huo. Tanzania tunasifia na kutukuza wezi, mafisadi na wala rushwa huku wengi wakiendelea na maumivu yasiyomithilika.
Hapo ndipo linakuja suala la lugha na utamaduni wake. Upande mmoja ni ukweli, uwazi na uthubutu na huku kwingine ni unafiki, uoga, uongo na ujinga mwingi.
Mungu atusaidie, amina.
Kuna tatizo kwenye hoja zako wewe umesema sijui Uganda na Nigeria kuna ukabila and blah! blah!Kwani kuna mahali kwenye uzi mleta uzi amezungumzia English kama unifying tool?? Hiyo Uganda yenyewe theluthi mbili tu ya raia ndio wanajua English, kuna mamilioni wanajua lugha zao za kikabila tu.
Kwani kuna mahali kwenye uzi mleta uzi amezungumzia English kama unifying tool?? Hiyo Uganda yenyewe theluthi mbili tu ya raia ndio wanajua English, kuna mamilioni wanajua lugha zao za kikabila tu.
Uganda na Nigeria kama sio ukabila na dini wangekuwa mbali sana, hayo mambo mawili yamewafanya raia kukosa utulivu na ushirikiano kwa muda mrefu.
Wakati sie watanzania tunajivunia kua raia wa nchi, hatuna la kujivunia zaidi ya Amani na umoja wetu.Uafrika hasa utanzania ni laana.
Kichina ni lugha inayozungumzwa na watu bilioni 1.3 idadi karibu sawa na Kingereza, sasa wewe na Kiswahili chako huko Mlimba utawasiliana na nani kwa ukubwa huo wa China??China wanazungumza kiingereza,?
Muulize Tanzania inazalisha nini katika world market, ili kiswahili kipate umuhimu wowote,.........nchi masikini kama Tanzania ndo ya kulinganisha na China sijui chawa wanamatatizo gani?Kichina ni lugha inayozungunzwa na watu bilioni 1.3 idadi karibu sawa na Kingereza, sasa wewe na Kiswahili chako huko Mlimba utawasiliana na nani kwa ukubwa huo wa China??
SIyo Tanganyika tu, dunia nzima inawasifu wakenya kwa ujasiri waliouonyesha, kasoro bibi na babu zangu wasiojua chochote zaidi ya neno Amani.
Hakuna nchi iliyokamilika kila kitu. Mafisadi na wezi wa mali za uma wataendelea kuwepo hadi kiyama. Ila amani na mshikamano wa raia ni jambo la kuheshimu saaana. Hao wakenya walipofikia wasipojirekebisha watakuja kujutaaa. Ifokiria huo uharibifu wanaoufanyaa, mfano bunge majengo, magari hadi maktaba, sasa hivyo navyo vimefia nini?Wewe unajenga upande huu, at the same time viongozi wako wanabomoa upande mwingine, utafanyaje? Utaendelea kujenga? Ama utahakikisha kwanza kuwa kile unachokijenga hakibomolewi? FYI wakati wewe unatungiwa sheria za kukukamua wanasiasa wanapanga kuagiza land cruiser 400 za kuwatembeza popote wanapotaka kwenda, wanajilipa mishahara ya kufuru,wanajengeana majumba ya kufuru,wanapeana posho zisizo na sababu,wamekuwekea na sheria ya kuwalipa wake au waume zao ambao wapo majumbani tu wame relax,bima za maisha,afya,na mali zao unawalipia wewe, wao hawawajibiki kulipa kodi yoyote, wala kupanda au kushuka kwa gharama za maisha hakuwahusu wao, yaani wao ni kula, kunywa,kuongea kidogo, na kusafiri popote kwa gharama zako, huoni uchungu wewe?? Basi wewe ni mtu wa ajabu kabisa.
Kingereza na Kichina ni lugha rasmi za Singapore, Yani Wasingapore wanaweza kuwasiliana vizuri na watu takribani billion 3 , sasa wewe na Kiswahili chako unaweza kuwasiliana na watu wangapi??Singapore wanazungumza kiingereza?
Sahihi kabisaNchi zote tatu za Afrika Mashariki, Uganda, Kenya na Tanzania zilitawaliwa na mkoloni mmoja kwa wakati mmoja. Waganda na wakenya wao lugha wanayotumia na kuimiliki ni Kiingereza na Tanzania ni waongeaji wazuri wa kiswahili tu, yaani waswahili.
Lugha ina tabia ya kuendana na utamaduni wake. Mfano waingereza na waongeaji wa Kiingereza ni watu wenye utamaduni wa kuwa wazi, wakweli na wathubutu. Waswahili wana tabia ya kuwa waoga, waongo na wanafiki.
Hali inayoendelea Kenya kisiasa na kiuchumi haitofautiani na ya Tanzania. Wizi, ufisadi na rushwa kwa viongozi vimetamalaki katika nchi zote mbili ila kuna tofauti ya jinsi ya kukabiliana nayo.
Wakenya wana uthubutu wa kusema ukweli hadharani, kujitokeza na kuupinga uovu huo. Tanzania tunasifia na kutukuza wezi, mafisadi na wala rushwa huku wengi wakiendelea na maumivu yasiyomithilika.
Hapo ndipo linakuja suala la lugha na utamaduni wake. Upande mmoja ni ukweli, uwazi na uthubutu na huku kwingine ni unafiki, uoga, uongo na ujinga mwingi.
Mungu atusaidie, amina.
Theluthi mbili ya Wamalysia wanazungumza Kingereza kilichonyooka.Malaysia wanazungumza kiingereza?