Nimetimiza miaka 10 ya ndoa toka nilipo oa nikiwa na miaka 19

Hongera kwa point zako unaonekama umekomaa kiakili kweli kweli ndugu yangu. Mungu akujalie heri msonge mbele zaidi
 
Ngoja tusubirie hiyo stori ila mmh nikikuchukua maelezo yako mkuu unanitia wasiwasi na hii stori yako[emoji23][emoji23]

Ila anyway, ngoja tusubirie tu tutajua mbivu na Mbichi
 
Ngoja tusubirie hiyo stori ila mmh nikikuchukua maelezo yako mkuu unanitia wasiwasi na hii stori yako[emoji23][emoji23]

Ila anyway, ngoja tusubirie tu tutajua mbivu na Mbichi
Kama huamini kalibu hom uje kufanya kautalii na kauchunguz gharama zmza kutoka uliipo na vyote zangu ili uje udhibitishe hapa maana hata nikikwambia vipi huezi amin kama upo Tayar njoo pm
 
Hii ni ndoa au jehanam??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…