Nimetimiza miaka 9 bila kufanya ngono

Miaka 9 sema ulipigika kimaisha mkuu,wanawake wote ukawaona ni shemeji zako
 
Kisa cha kukaa miaka yote hiyo!? Ulitaka kuwa padri Mkuu? Hata baadhi ya mapadri hawawezi kucheza mbali na utamu.
Mapadri hawaruhusiwi tu kuoa..lakini utamu muhimu..
We unadhani kwanini masista wapo
 
Mie nishawahi fikisha mwaka mmoja ni miezi sita mwezi February ndipo nilipo vunja huo mwiko na kurudi kwa kasi ila kilichonikuta cku ya April 7 acha tu npo kwny tafakari ya kufunga zipu zng baada ya kumaliza ili janga langu tarehe 5 Mei
 
Kama ulikua jela sawa lakini kama ulishawahi onja huwezi acha kama ni kweli hebu angalia biceps za mikono hazilingani ...chunguza
 
Kisa na mkasa???
 
Hongera sana mkuu . Sasa kilichobaki ni kutafuta mwenza ufunge ndoa na sio kufikiria zinaa. Kwani umekaa mda mrefu bila kudhini sasa isije ikakukosti ukaangukia pabaya na kukwa Ngoma.
Ushauri: Oa.
 
Nilijizuia miaka 22 toka nizaliwe ckufanya mapenz mbn miaka 9 ni midogo sana mkuu
 
Kitendo chako cha kukaa muda wote huo bila kugegeda kina mchango ganai katika kujenga nchi ya viwanda? nenda kapime afya ya akili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…