secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
Eti roho mtakatifu kanishukia usiku akiniambia niachane na kukwea mnazi kwa kono Moja.Sawa
Kwa vipi?Utakua na matatizo binafsi
Huyo n roho mchakafuziEti roho mtakatifu kanishukia usiku akiniambia niachane na kukwea mnazi kwa kono Moja.
Hii ni sawa?
Kwamba mtoa mada jicho lake la tatu lipo wazi? 😂Umefungua jicho la 3 tayari
hahaha ushawaza ujingaKwamba mtoa mada jicho lake la tatu lipo wazi? 😂
Bado sana. Jana ndo nilijaribu kwa mara ya kwanza.Umefungua jicho la 3 tayari
💯 Fact 😎.Huyo n roho mchakafuzi
we umejuaje ni Bado sana?Bado sana. Jana ndo nilijaribu kwa mara ya kwanza.
Nimeisitisha tu kwa muda. Nikishaielewa nitairudia kwa pupa.Kaa mbali kabisa mkuu, mambo mengine waachiwe washirikina wenyewe tu.
Ghorofa haliwezi kujengwa siku moja.we umejuaje ni Bado sana?
wakati ndio umejaribu tu jana
Hii nimeichukua.Hilo ni jambo la kawaida kabisa , kwa mtu unae anza hizo ndoto mbaya na kuona vitu vya ajbu ni mawazo yako , hofu zako na hisia zote haribifu zilizojichimbia kwa miaka mingi ndani ya kichwa chako .
Hivyo ukifanya mediation ukipata utulivu , ukienda kulala hizo hisia haribifu huibuka kwa njia ya ndoto nyingi na zenye kuchanganya zisizo na mpangilio .
Cha kufanya, fanya mediation kila siku asubuhi na jioni wala hauna haja ya kuogopa mawazo yako , kuna siku utaanza kufurahia matokeo ya mediation.