secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,984
- 51,055
- Thread starter
- #41
🙏Meditation in your daily routine | JamiiForums Meditation in your daily routine
🙏Meditation in your daily routine | JamiiForums Meditation in your daily routine
Hahaha, kuwa na mke hakumaanishi kuwa sikwei mnazi. Ningefanya nini pale wife anapokuwa na mtoto mchanga?Nimeona neno wife!!¡!!!! Kumbe ndege mnafki huku unasapoti kukwea mnazi kumbe realty una ka super banco ka binadamu!!??
😊😂😂😂Kaa mbali kabisa mkuu, mambo mengine waachiwe washirikina wenyewe tu.
Hahahaha😂Nimeona neno wife!!¡!!!! Kumbe ndege mnafki huku unasapoti kukwea mnazi kumbe realty una ka super banco ka binadamu!!??
Yeah! Ni kitanda changu safi.Hahaha , dah. Ukutani tena.
Never😂Vuta bangi, itakusaidi...
Puliza bangi vizuri, utaona faida yake
Sasa kama wa bangi ni mwepesi, that means bangi ni poa zaidi, salama kuliko sigaraNever😂
Moshi wa bhangi ni mwepesi kuliko wa sigara | JamiiForums Moshi wa bhangi ni mwepesi kuliko wa sigara
Je, kwenye ukuta mlaini unaweza kujongea?Yeah! Ni kitanda changu safi.
Unapuliza vizuri, na je unakula vizuri, bangi mwenzake ni msosi mzuri, unakula kuku ½ wa kienyeji, asubuhi unalipuliza kisha unapiga supu samaki, bonge la samaki, mchana ugali mboga za majani kwa wingi, nyams choma nyingiii, matunda, juisi juisi hizi, tofauti na hapo, bangi unaikosea adabuMimi hufanya hivyo Kila siku mkuu.
Hilo ni jibu sio swali, natumbukiaga kila siku.Je, kwenye ukuta mlaini unaweza kujongea?
Siku hizi nakula vizuri sana na nimeizoea sana bangi. Nilipokuwa mdogo bangi ilikuwa inanichanganya sana, yaani ninaweza nikala sahani Moja kwa dakika tano au saba lakini ufahamu wangu unaniambia nimekula ule msosi kwa zaidi ya masaa matatu.Unapuliza vizuri, na je unakula vizuri, bangi mwenzake ni msosi mzuri, unakula kuku ½ wa kienyeji, asubuhi unalipuliza kisha unapiga supu samaki, bonge la samaki, mchana ugali mboga za majani kwa wingi, nyams choma nyingiii, matunda, juisi juisi hizi, tofauti na hapo, bangi unaikosea adabu
We jifurahishe tu. Wenzako tuna mabinti wakubwa tu, ipo siku utaniita baba mkwe na faini nitakayokupiga siku hiyo kisa heshima kushuka haina mfano.Huna mke kataa ndoa mkubwa
😂😂😂😂Hilo ni jibu sio swali, natumbukiaga kila siku.
Ww c ndo umesema mambo ya jicho la tatu kuwa wazi au?hahaha ushawaza ujinga
Meditation ni nini mkuu😊😂😂😂
Nifundishe na mimiHilo ni jambo la kawaida kabisa , kwa mtu unae anza hizo ndoto mbaya na kuona vitu vya ajbu ni mawazo yako , hofu zako na hisia zote haribifu zilizojichimbia kwa miaka mingi ndani ya kichwa chako .
Hivyo ukifanya mediation ukipata utulivu , ukienda kulala hizo hisia haribifu huibuka kwa njia ya ndoto nyingi na zenye kuchanganya zisizo na mpangilio .
Cha kufanya, fanya mediation kila siku asubuhi na jioni wala hauna haja ya kuogopa mawazo yako , kuna siku utaanza kufurahia matokeo ya mediation.
😃We jifurahishe tu. Wenzako tuna mabinti wakubwa tu, ipo siku utaniita baba mkwe na faini nitakayokupiga siku hiyo kisa heshima kushuka haina mfano.
MuongoKwa hiki kilichonitokea nimesitisha kufanya tahajudi hadi pale nitakapopata mwongozo mzuri wa jinsi ya kufanya hiki kitendo.