RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Hebu rudia leo halafu uone ICC mnaenda au laaah!hebu jaribu!Nimeisitisha tu kwa muda. Nikishaielewa nitairudia kwa pupa.
Hebu rudia leo halafu uone ICC mnaenda au laaah!hebu jaribu!Nimeisitisha tu kwa muda. Nikishaielewa nitairudia kwa pupa.
Unapofanya meditation 🧘♂️ kwa utulivu , unaachilia hali ya hisia haribifu mbalimbali , ambazo zipo kama kumbukumbu ndani ubongo wako .Hii nimeichukua.
Safari ijayo hauta ota tu watakulaza juu ya makaburi.Nimeisitisha tu kwa muda. Nikishaielewa nitairudia kwa pupa.
Basi kama ni hivyo sina haja kuwa na hofu. Nitaendelea nayo hadi nione mabadiliko ninayoyataka.Unapofanya meditation 🧘♂️ kwa utulivu , unaachilia hali ya hisia haribifu mbalimbali , ambazo zipo kama kumbukumbu ndani ubongo wako .
Ukimaliza na kwenda kulala zile hisia huibuka kwa kasi ,hasa kwa mtu anae fanya kwa mara ya kwanza , ni sawa na kulenga jiwe kwenye mziga wa nyuki .
Hivyo kupelekea mzozo na mgongano wa kumbukumbu nyingi ndani ya ubongo .
Nyingine huja kama ndoto mbaya , wanyama wakutisha ,majitu makubwa na ya kutisha , hizo zote ni takataka za mawazo uliyo ya hifadhi ndani ya ubongo wako.
Mkuu hicho kwangu hakiwezekani.Safari ijayo hauta ota tu watakulaza juu ya makaburi.
Ukiwa unafanya meditation usitegemee chochote wewe fanya kama sehemu yako ya maisha tu asubuhi sana na jioni , kama unavyofanya mazoezi ya mwli tu , trust the process.Basi kama ni hivyo sina haja kuwa na hofu. Nitaendelea nayo hadi nione mabadiliko ninayoyataka.
Nipo pale ukutani nakuzoom tu mkuu, usije kugeuka na kusema hatukukusanua.Mkuu hicho kwangu hakiwezekani.
Kuna jamaa alikua anatumia bangi kwenye meditation , alikuja kupata shida ya paranoia🤔Vuta bangi, itakusaidi...
Puliza bangi vizuri, utaona faida yake
Itakuwa alikuwa anavuta bangi la kete 300, bangi lina mbegu kibao. 😂🤣, bangi hata bob hajawahi igusaKuna jamaa alikua anatumia bangi kwenye meditation , alikuja kupata shida ya paranoia🤔
Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi? | Page 2 | JamiiForums Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?Wakuu, nimegundua kuwa tahajudi si kitu Cha mchezo. Usiku wa kuamkia Leo nijaribu ku-meditate na kilichotokea usiku kucha ni vituko.
Nilikuwa naota ndoto za ajabu ajabu, nilikuwa naongea mwenyewe hadi wife akawa ananishtua usingizini, n.k.
Kwa hiki kilichonitokea nimesitisha kufanya tahajudi hadi pale nitakapopata mwongozo mzuri wa jinsi ya kufanya hiki kitendo.
Nilikuwa naichukulia poa meditation sasa nimeshaanza kuiogopa.
Mshana Jr
Pascal Mayalla.
Meditation sio kwa waamini.... | Page 3 | JamiiForums Meditation sio kwa waamini....Nimeisitisha tu kwa muda. Nikishaielewa nitairudia kwa pupa.
Thanks mkuu.Ukiwa unafanya meditation usitegemee chochote wewe fanya kama sehemu yako ya maisha tu asubuhi sana na jioni , kama unavyofanya mazoezi ya mwli tu , trust the process.
Hahaha 😂, dah. Ukutani tena.Nipo pale ukutani nakuzoom tu mkuu, usije kugeuka na kusema hatukukusanua.
Mimi hufanya hivyo Kila siku mkuu.Vuta bangi, itakusaidi...
Puliza bangi vizuri, utaona faida yake