Nimetishika sana kutokana na kilichonikuta baada ya kujaribu kufanya tahajudi (meditation)

Unapuliza vizuri, na je unakula vizuri, bangi mwenzake ni msosi mzuri, unakula kuku ½ wa kienyeji, asubuhi unalipuliza kisha unapiga supu samaki, bonge la samaki, mchana ugali mboga za majani kwa wingi, nyams choma nyingiii, matunda, juisi juisi hizi, tofauti na hapo, bangi unaikosea adabu
Nitajaribu🙏🏿🙏🏿😩😂
 
Wakuu, nimegundua kuwa tahajudi si kitu Cha mchezo. Usiku wa kuamkia Leo nijaribu ku-meditate na kilichotokea usiku kucha ni vituko.

Nilikuwa naota ndoto za ajabu ajabu, nilikuwa naongea mwenyewe hadi wife akawa ananishtua usingizini, n.k.

Kwa hiki kilichonitokea nimesitisha kufanya tahajudi hadi pale nitakapopata mwongozo mzuri wa jinsi ya kufanya hiki kitendo.

Nilikuwa naichukulia poa meditation sasa nimeshaanza kuiogopa.

Mshana Jr
Pascal Mayalla.
sina hakika sana ,,,,,kuna mtu alifanya kitu kama meditation akawa ananuiza juu ya mwanamke chumba cha jirani,,,,yule mwanamke akaja kubisha hodi....jamaa akamfungulia na kula mzigo,,,ndio uchawi au?
 
Wakuu, nimegundua kuwa tahajudi si kitu Cha mchezo. Usiku wa kuamkia Leo nijaribu ku-meditate na kilichotokea usiku kucha ni vituko.

Nilikuwa naota ndoto za ajabu ajabu, nilikuwa naongea mwenyewe hadi wife akawa ananishtua usingizini, n.k.

Kwa hiki kilichonitokea nimesitisha kufanya tahajudi hadi pale nitakapopata mwongozo mzuri wa jinsi ya kufanya hiki kitendo.

Nilikuwa naichukulia poa meditation sasa nimeshaanza kuiogopa.

Mshana Jr
Pascal Mayalla.
we jamaa kila siku unaleta uongo wako humu!! Kama kweli ulifanya meditiation, ulitumia njia ipi? Uliifanyia wapi(mazingira gani)? Uliifanya kwa muda gani? Maana uongo ni jadi yako(kumbuka ile ya kuchora tatoo ya no reforms......).
 
Ila hii ya meditation ni ya kweli kabisa. Ila ya tattoo ya no reforms niliiandika baada ya kulewa sana.
 
Eastern meditation ni njia rahisi na ya haraka ya kupata majini.
 
Back
Top Bottom