Nimetishika sana kutokana na kilichonikuta baada ya kujaribu kufanya tahajudi (meditation)

Hii nimeichukua.
Unapofanya meditation 🧘‍♂️ kwa utulivu , unaachilia hali ya hisia haribifu mbalimbali , ambazo zipo kama kumbukumbu ndani ubongo wako .

Ukimaliza na kwenda kulala zile hisia huibuka kwa kasi ,hasa kwa mtu anae fanya kwa mara ya kwanza , ni sawa na kulenga jiwe kwenye mziga wa nyuki .

Hivyo kupelekea mzozo na mgongano wa kumbukumbu nyingi ndani ya ubongo .

Nyingine huja kama ndoto mbaya , wanyama wakutisha ,majitu makubwa na ya kutisha , hizo zote ni takataka za mawazo uliyo ya hifadhi ndani ya ubongo wako.
 
Basi kama ni hivyo sina haja kuwa na hofu. Nitaendelea nayo hadi nione mabadiliko ninayoyataka.
 
Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi? | Page 2 | JamiiForums Somo la meditation: utajuaje kama unafanya kwa sahihi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…