Nimetishika sana kutokana na kilichonikuta baada ya kujaribu kufanya tahajudi (meditation)

Mimi hufanya hivyo Kila siku mkuu.
Unapuliza vizuri, na je unakula vizuri, bangi mwenzake ni msosi mzuri, unakula kuku Β½ wa kienyeji, asubuhi unalipuliza kisha unapiga supu samaki, bonge la samaki, mchana ugali mboga za majani kwa wingi, nyams choma nyingiii, matunda, juisi juisi hizi, tofauti na hapo, bangi unaikosea adabu
 
Siku hizi nakula vizuri sana na nimeizoea sana bangi. Nilipokuwa mdogo bangi ilikuwa inanichanganya sana, yaani ninaweza nikala sahani Moja kwa dakika tano au saba lakini ufahamu wangu unaniambia nimekula ule msosi kwa zaidi ya masaa matatu.

Baadaye nikaja kugundua kuwa nikivuta bange dakika Moja naiona kama dakika 15, ndiyo maana sasa hivi nimeshaiziea sana.
 
Nifundishe na mimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…