Nimetishika sana kutokana na kilichonikuta baada ya kujaribu kufanya tahajudi (meditation)

Nitajaribu🙏🏿🙏🏿😩😂
 
sina hakika sana ,,,,,kuna mtu alifanya kitu kama meditation akawa ananuiza juu ya mwanamke chumba cha jirani,,,,yule mwanamke akaja kubisha hodi....jamaa akamfungulia na kula mzigo,,,ndio uchawi au?
 
we jamaa kila siku unaleta uongo wako humu!! Kama kweli ulifanya meditiation, ulitumia njia ipi? Uliifanyia wapi(mazingira gani)? Uliifanya kwa muda gani? Maana uongo ni jadi yako(kumbuka ile ya kuchora tatoo ya no reforms......).
 
Ila hii ya meditation ni ya kweli kabisa. Ila ya tattoo ya no reforms niliiandika baada ya kulewa sana.
 
Eastern meditation ni njia rahisi na ya haraka ya kupata majini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…