erick hutaki dada mkubwa akusamehe naona!
we endelea tu!:shock:
unajua shem wako kanimind sababu ya ile statement yako?mi dada mkubwa najua sana kuwa umekasirika!sasa ndo hapa namwambia erick anyamaze hasikii!
anaendelea tu kukukosea!
dada mkubwa mi wala sikusema hayo mambo nahis kuna mtu sijui aliniteka!manake asubuhi nimeamka nimejikuta hata sipo nyumbani!
yaani bado mnataka kuendelea kunikosea?
nyie wote ni wadogo zangu, nimewasamehe.........Tusameheeew
Seva vipiOh! nshapoa wangu..nafurahi kuipata faraja yako. nimefurahi kweli kweli..kisses..
Poole dia wanguHahahaaaaa
aiseee naona bby unaanza kuibua hasira za wana Ntwara lol
Mwenzio injini inaumaje hapa yan hadi mafua...niletee hedex mpenzi
Hahahaaaaa
aiseee naona bby unaanza kuibua hasira za wana Ntwara lol
Mwenzio injini inaumaje hapa yan hadi mafua...niletee hedex mpenzi
Poole dia wangu
Takupatia dawa usijali,mimi teena