Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

Nitajiungaje na kanisa la katoliki akili kubwa.
 
Endeleeni kupiga vigelevigele niko paleee
 
Anaandaliwa Safari kwenda Vatican kukutana na Papa wa Kanisa Katoliki la Roma.
 
Vatican sio wavaa kobazi wa Oman,ikiwa atakwenda kweli Vatican basi wamuandae vyema maana anaenda kukutana na kuongea na Wanafilosofia na Wanasaikolojia, sentence yake ya kwanza watafamu vyote anavyokusudia kuongea na watamjibu bara bara.
 
Ameeen! Ameeen! Mwana Kondoo Ameshinda ,Tumfuate
 
Hili kanisa ninalielewa mno kwa sasa japo sio muumini wake.

Mungu awe pamoja na TANGANYIKA na WaTanganyika.
Makleri Hakuna wa drs La.7
 
Reactions: K11
Mtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
Kama una ndugu Humu akuchunge Sana Kwa Akili hiyo uliyo nayo sitashangaa nikisikia imekunyea chooni umejinyonga!
Muda utasema!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…