Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

Nitajiungaje na kanisa la katoliki akili kubwa.
 
[emoji106][emoji106]nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Endeleeni kupiga vigelevigele niko paleee
 
Anaandaliwa Safari kwenda Vatican kukutana na Papa wa Kanisa Katoliki la Roma.
 
Vatican sio wavaa kobazi wa Oman,ikiwa atakwenda kweli Vatican basi wamuandae vyema maana anaenda kukutana na kuongea na Wanafilosofia na Wanasaikolojia, sentence yake ya kwanza watafamu vyote anavyokusudia kuongea na watamjibu bara bara.
 
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Ameeen! Ameeen! Mwana Kondoo Ameshinda ,Tumfuate
 
Mzee nawewe umefikia kuwa chawa? [emoji23]
[emoji24][emoji24]
IMG_20211226_190249_1.jpg
 
Mtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
Kama una ndugu Humu akuchunge Sana Kwa Akili hiyo uliyo nayo sitashangaa nikisikia imekunyea chooni umejinyonga!
Muda utasema!
 
Back
Top Bottom