Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Endeleeni kupiga vigelevigele niko paleee[emoji106][emoji106]nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Ameeen! Ameeen! Mwana Kondoo Ameshinda ,Tumfuate👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Amesha"Bamizwa", ila wewe hutaki kuona hivyo.Abamizwe mtu mkataba usitishwe namikataba mengine ya hovyo isitishwe,tuwe serious na nchi yetu.
Kwani Mungu Yupo Likizo???Mtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
[emoji24][emoji24]Mzee nawewe umefikia kuwa chawa? [emoji23]
Makleri Hakuna wa drs La.7Hili kanisa ninalielewa mno kwa sasa japo sio muumini wake.
Mungu awe pamoja na TANGANYIKA na WaTanganyika.
Kwetu wanasema "wahiyukayo" ila tungepata kaclip nasie tufurahi pamoja mkuu. Ila mziki wa bandari ni mzito.
Kama una ndugu Humu akuchunge Sana Kwa Akili hiyo uliyo nayo sitashangaa nikisikia imekunyea chooni umejinyonga!Mtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
Jipeni moyoKama una ndugu Humu akuchunge Sana Kwa Akili hiyo uliyo nayo sitashangaa nikisikia imekunyea chooni umejinyonga!
Muda utasema!