christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
Duuuh! Nilifikiri makofi yalipigwa huku kwetu tu. Hata huku kwetu watu waliusikiliza kwa makini sana wakati unasomwa, nikashangaa baadhi ya watu walionesha kushtuka na wengine kutukisa vichwa yaani ni kama vile ndio wameanza kuusikia leo huu mkataba au waloshawahi kusikia juu juu tu hawakujua undani wake. Ila vigelegele havikupigwa.👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.