Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

Nimetoka kanisani kwetu Mikocheni, tumesomewa tena waraka wa Maaskofu wa Katoliki kupinga uuzwaji wa bandari,watu wamepiga makofi na vigelegele

👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Duuuh! Nilifikiri makofi yalipigwa huku kwetu tu. Hata huku kwetu watu waliusikiliza kwa makini sana wakati unasomwa, nikashangaa baadhi ya watu walionesha kushtuka na wengine kutukisa vichwa yaani ni kama vile ndio wameanza kuusikia leo huu mkataba au waloshawahi kusikia juu juu tu hawakujua undani wake. Ila vigelegele havikupigwa.
 
Unafikiri mkisomewa ndo patabadili kitu...??
KENZY wewe sio mtoto ni mtu mzima pengine nawe ni mnufaika wa hili ama pengine si mnufaika,, nikwambie kitu,, Mama akiendelea kushupaza shingo juu ya huu mkataba ambao najua hata wewe unaona kabisa hauna maslahi yoyote kwa Taifa,, hakika ghadhabu ya Mungu itamshukia akingali hai,, huwezi kubishana na kanisa ukabaki salama sauti ya watu wa Mungu ni sauti ya Mungu,,
 
Hayo ndiyo mafanikio pekee mtakayoyapata kuishia kupiga makofi na vigelegele.

Uwekezaji wa bandari upo pale pale hatuwezi kuwaendekeza wezi kutuibia mapato pale bandarini.
Wewe mwenyewe jizi kubuhu
 
Mtasoma tu nakuishia kupiga vigeregere lkn hakitafanyika kitu!
😀😃😂😁😄😅😆😄😄😃😂😁😄😄😀😃😃😁😄😅😅
Nyundo Ya TEC Unaweza Kunywa Sumu
 
[emoji106][emoji106]nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Kumekucha !
 
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Hata Mie hapa kanisa la Bikira Maria wa Consolata,Mshindo Iringa.Tamko la TEC limesomwa na waamini wameshangilia na kupiga makofi Kwa nguvu
 
Hii nchi ishachosha kelele kelele tu na vitu havitokei.. mkuu ktk uhalisia hizi kelele hazitamzuia tembo kunywa maji utaona ndugu...
Kinachotamkwa na Roma sio kekele ndugu,ile ni taasisi makini inayojielewa nini inachokifanya. Kaa mkao wa kuona mwekekeo mwingine wa jambo hili.
 
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
😎 cool
 
Baada ya Waraka kusomwa Bunge limesitisha Utoaji Maoni wa sheria ya maliasili

Bunge limemualika Nabii Mkuu GeoDavie Kufanya Maombi bungeni

Wabunge wa Kanisa Moja Takatifu wanaelekea Vatican kutubu

Nk....nk
Na Bado
Ule waraka siyo mchezo. .. We hadi kikwete kuchomoza siyo masihara una impact kubwa sana.
 
👍👍nimetoka kanisani Mikocheni. Tumesomewa tena Tamko la Maaskofu,Leo kanisa lilikuwa limejaa kushinda siku zote naamini walikuwepo Waislamu na madhehebu mengine,watu wote wakaungana na Waumini tumepiga makofi mengi sana kuliko hata jumapili iliyopita,Paroko amesema usomwe pia kwenye Jumuiya watu wakapiga vigelegele,Salaam kwako wewe Saa100 uliyetufikisha hapa.
Matahira nyie,mtaishia kupiga vigelegele mkataba ushasainiwa kitambo sana
 
Itakuwa vizuri kama wangetoa watu kwenda kugombania ubunge na urais
 
Uendelee kusomwa.Tunaelimika
Utaendelea kusomwa Dominica sita mfululizo katika ngazi ya vigango parokia,jumuiya na hata Vatican umeshapelekwa nako unaendelea kusomwa. Radio Maria inaurudia mara kwa mara. Vyombo vingine vyote vya habari hapa kwetu vilipigwa mkwara visiuripoti ila ndo ushafika kila mahala. Roma ni taasisi madhubuti na makini ktk kuratibu mambo yake.
 
Tusikae kimya sasa kusubiri miaka 10 ijayo Rais wetu aandike Kitabu cha kujutia kuingia mkataba huu mbovu wa Bandari, tumkosoe mapema ili akija kuandika kitabu hicho aseme nilishauriwa ila nilikataa Ushauri"-Baba Paroko wetu leo
Hakika abarikiwe 🙏🙏🙏 maneno mazuri sana haya
 
Back
Top Bottom