Nimetuma Sticker ya Ngono kwenye Group la Kanisa

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daah
 
lete kwanza sticker hapa kama ni ya yule dada mnene amevaa kitenge anakatika huku anazunguruka hama kanisa sababu wataona hata waumini sample zile huwa unawamezea mate.
 
Ongeza sticker nyingine
 
Waambie tu kwamba ni mkono wa baunsa.
 
Yesu alisema ninani asiye na dhambi basi adiliki kumpiga mawe uyu mwanamke malaya, ndugu yangu hakuna msafi chini ya jua wote ni wenye dhambi kuwa na amani kabisa
Huyu alietuma sticker labda sio mwanamke ni mwanaume
 
Ingekuwa group la ukoo au familia ndio noma, lakini la kanisa mbona fresh tu.

Hata Padre au mchungaji anajua kila mtu ana madhambi yake.
 
😃😄🤣Kanisa linamuona huyu ni kijana wa ovyo
Kachafua hali ya hewa alafu ka left group

katumwa na mapepo nini?🤣🤣
 
Muda will hear mkuu,usiwaze watasahau.
Nenda tu jifanye kama huelewi vile.
 
Badili dini
 
Soma Warumi 3:23
Inasema
Wote wamefanya dhambi na kupungukiwa na utukufu wa Mungu.

Ila pia inaonekana ndio mambo yako maana Biblia inasema

Lk 6:45 SUV​

Mtu mwema katika hazina njema ya moyo wake hutoa yaliyo mema, na mtu mwovu katika hazina mbovu ya moyo wake hutoa yaliyo maovu; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.
 
Ungeomba Samahani, haraka Sana mara baada ya kuifuta hiyo sticker, lakini kufuta na kukaa kimya lazima waendelee kukushambulia, Rudini kwenye group Uombe msamaha, Sote huwa tunakosea (na tunafanya ngono, watakuelewa).. ili uweze kuendelea kushiriki ibada kwa Amani ya Bwana!
Pole kwa hilo Tukio!
 
Wabongo walivyo wanafki hapo utakuta wanakushambulia na huku wamei add hiyo sticker to favorites. 🤣
 
Tuma nyingine tuma na meseji ya kitapeli alaf mfate member mmoja umwambie atume kwenye group umeibiwa simu
Hii mbinu ya kivita bila shaka imejifunza Russia.Kuwazunguka manazi af unakamata kiulainiiiiiii😂😂😂😂
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…