Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

Kwanza usi seme mimi na wewe, maana hatutumii keyboard 1 au kukaa nyumba 1 kusema tunaonana muda huo.

Najua huwa mna hasira za juu juu, na mna vuruga minywele ka wehu kudadadeki 😂.

Sio lazima lijae gesi Sana, hata kuwa na wasiwasi ni chanzo pia.

Mi sio mtaalamu mimi ni raisi wa ma jobless pro max.
 
Hatutumii keyboard moja ila si nina kuona ukiwa on 😄 anyway poa✅️

Hapo kwenye minywele hapo😄😄 asalaleeeee
 
Muonjeshe hili tambo shem lake kama haja-erase memory yote😆View attachment 3562472

Huyu ni mnyama mkali sana Shem wangu.

Kuna washkaj zangu wanakunywa sana hii. 25k inauzwa. Dah mzigo ni balaa.
Ila Sikuhizi wameamia kwa TZEE.
Nzur sana nayo.

Mm hizi kali kali nagusa gusa. Glass moja 2. Tumbo langu linashtuka nikinywa sana maspirit.
 
Baada ya dozi awe na mazoea ya kula mlenda ule wa kusaga wa kinyaturu mara kwa mara, pia mafuta ya mkia wa kondoo mchanganyiko na asali ya nyuki wa dogo asubuhi na jioni kijiko kimoja cha chai, kuna wengine nimeona wanapona kwa kula pilipili kali sasa hapo inategemea 🤔
 
Hiyo Tzee niliona tu bango town, kumbe ni noma? Polee mi naweza kukata mzinga inategemeana na mood😌
 
Hii mimi msinipe maana mnaweza kuzika au kusafirisha kwa hili tumbo langu😄
 

Mm nina wasiwas sana na hiyo anayosema H-pyrol anayoumwa.

Arud tu hosp nyingne aanze kusikilizwa upya. Inawezekana ni ugonjwa mwingne kabisa alaf anapewa dawa za kutibu kitu kingne kabisa.

Hauwez ukapata dawa ya ugonjwa husika alaf ukatumia kwa siku 3 na bado ukawa unaumwa au hakuna nafuu. Its Obvious dawa hazitibu ugonjwa husika bali zinachosha mwili.
 
Naanzisha kwa simu yangu na bando langu usinilazimishe nikujibu ujinga plz huwezi kuchangia bs sijakuforce
Nakuuliza kwa nia njema mkuu..na niliwahi kukushauri hapa,,ili upone kwa uhakika H pylory tumia Heligokit kwa usahihi dozi ya siku 21 mpaka 28. Usikubali daktari akuchanganyie dawa tofauti na Heligo kit yenyewe og ambayo ni ready for use ina mchanganyiko wa dawa kama tatu [Tinidazole,Clarithromycin na Lansoprazole]

Sasa wewe humalizi wiki unarudi tena hapa kuuliza, ni vyema umuulize daktari wako anaye kutibu..
 
Mkuu,H pylory anaweza kupona..kwa maana ya kumuua bakteria..ila sasa athari alizo acha huyo bacteria kwa maana ya vidonda hutumia muda kupona
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…