Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

Good
 
Mkuu,H pylory anaweza kupona..kwa maana ya kumuua bakteria..ila sasa athari alizo acha huyo bacteria kwa maana ya vidonda hutumia muda kupona

Mm naumwa since 2005.
nafuata mashart ya chakula na pia likiamka natumia Omeprazole. Siku 1 tu linatulia. Na ntakaa hata miez 3 silisikiii likiuma tena.

Heligo kit nishawah tumia kwa wiki hivi na nikakaa hadi miaka 4 sikulisikia kabisa ila likaanza tena.

Sasa kukaa wiki 3 bila kugusa Kimea ndio sijawah. Ila naishi na Masharti ya Vyakula Na m okay with it. ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Stress si inaondoka automatically baada ya kinachosababisha hiyo Stress kuondoka au kuisha?
Stress una ziondosha mwenyewe, jitahidi uwe una fanya recuperation.

- kaoge si una bomba la mvua (kama huna njoo kwangu au basi tokaa), kaa au simama utulie, let the water wash your stress. 30m - 1 hour.

- tafuta marafiki wenye kukuchekesha chekesha, you guys don't know tabasamu au kucheka ni tiba nzuri mno.

- lala kwa wakati, wewe sio popo au mbwa kusema una linda sehemu, jitahidi ulale usingizi mzuri ni tiba.

- kula vizuri, hasa matunda mchana na jioni, uki shindwa kula jioni ndizi, parachichi, machungwa.
wewe sio kenge hadi uogope matunda eboo.

Mengine tuta juzana, maana wote wageni hii dunia.
 
Okay okay, nataka hicho kimea pulizii ๐Ÿ˜ˆ
 
Kwamba aje kuoga huko sio๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Kuchekacheka ni humu au tiktok marafiki hawachekeshi๐Ÿ˜†
 
Asante ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
Bomba la mvuaโœ…๏ธ
Marafiki sina uhakika sana aliepo yupo mbaali๐Ÿฅน

Kulala vizuri nitaifanyia kazi
Matunda โœ…๏ธ

Wote ni mala yetu ya kwanza kuishi duniani ila tunazidiana experience
Shukran ๐Ÿ™
 
Alaf Ujue shem sijaona comment yako hata moja unampa ushaur binti yako kuhusu vidonda vyake ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ ndio maana anasema una msimanga.

Yaan Umegeuza Kijiwe cha kujadili pombe. ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
Shem mi sio daktari ni chawa wa dakatari nimemleta dokta mwanzoni kabisa au hujafatilia vizuri? Binti anajishtukia tu si unaelewa! Pombe zimekuja tu na haka kabaridii๐Ÿค—

Basi tuhame ukanipa hiko kimea kwanza hapa sielewi akili imehama ghafla๐Ÿ˜†
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ