Nimetumia dawa za H-pylori kwa wiki moja ili sipati ahueni, naomba msaada wa dawa

Sasa una kaaje na rafiki mmoja?, amekuwa tumbo useme hauruhusiwi kuwa nayo mawili ebo!
 
Una tatizo lingine unakunywa dawa za kutibu tatizo lingine, unapandikiza sumu mwilini; nenda hospitali nyingine zinazoeleweka upime upya unywe dawa sahihi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…