Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

Baba angu anajifanyaga muhuni anajua mbinu zote za wahuni coz kaishi nao sana SA. Ila siku moja nilimvua vyeo alipokua ananiuliza jinsi ya kupokea mzigo wake wa laptop kutoka kwa rafik yake wa Facebook.
Nilicheka sana
 
Unavosema "kuna mtu kanitumia" nadhani ni vema kufafanua huyo mtu ni nani unamfahamu au imekuaje hadi mmetumuana mzigo
 
Wacha ujinga, pesa huwa haitumwi kama parcel.
Kuna worldremit hutumika kutuma pesa.
Hapo utaambiwa utume pesa ya kulipia ndio kwaheri
 
😂😂😂😂😂😂 Nishaingizwa sana kwenye mitego kama hii lakin nikashindwa. Mkuu achana nao utapigwa
 
Kuna mmoja aliniambia ni CEO wa bank mteja amekufa bila next of kin, so kwa kuwa jina langu la pili limefanana na marehemu basi aniweke mrithi. Nikamwambia hiyo name mtandoni hamna langu hata moja yote feki, i ama a tech guy i know the risks basi akakimbia mita laki 100000.
 
Mtumaji ni nani yako? kama mmekutana mtandaoni, unapigwa na watoto wa Sinza pale!
 
Yani Local currency ya England in Pound alafu umo ndani atie USD?
Sawa inaeezekana lakini ni red flag tayari.
Mbali na hapa hakuna nchi inayoitwa East africa, Lazima utaambiwa be specific which East african country?
anyway ngoja nipite hivi.
Tuma 70k iyo uletewe mzigo.
 
Je waliotuma una mahusiano gani nao?
 
Acheni aliwe ndio ajifunze... Haoni wengi wamempa tahadhari humu... Yeye bado tu kakaza fuvu.
 
Full Senegar, Nigeria, ndo nchi zinazoongoza kwa utapeli hadi wanawake wanajitambulisha kama masista. Stuka: Pesa nayo wanaituma kama zawadi na kwanini wasilipie kwa pesa wanazozituma. Stuka.
 
Tapeli huyo kimbia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…