Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

Unapigwa na kitu kizito... Achana naye huyo tapeli kija huu ni wizi wa zamani sana mbona. Mzigo ukitumwa una tracking number unaweza utrack mwabie akupe tracking number kumkomoa. Ila huu ni utapeli unaweza kuachana naye au na wewe umchezee mwambie ela unaituma vipi, then usitume mwambie umetuma yani full kumvuruga...
 
Utapigwa na kitu kizito sana.
Utupe mrejesho ukilia
 
Matapeli wa Kenya hao wengine wako hapo Arusha watakupiga
 
Nakumbuka niliponea chupu chupu kupigwa na mnigeria akidai anataka nimuuzie my Twitter account, nilimpatia details zote akisahau default code activated..
Alipo nizungusha malipo nikawa nacheka mean while alisha ibadlisha hadi handle na login info zote.
Nikajibonyezea batani yangu moja tu .. jamaa akabaki anatoa macho... Hahah
 
Mzigo umetoka UK halafu umetumiwa dollars, hapo huoni ni red flag?
Kama umetuma umepigwa isamehe tu hiyo hela
Na wakutumie kama nani
Kwanini watume Kenya
Hao ni matapeli wa Kenya
 
.
 

Attachments

  • images - 2024-03-10T190459.157.jpeg
    25.9 KB · Views: 16
Mkuu kuna muda mimi walinipa na tracking number,wanakupa na website ya kutrack mzigo wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…