Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

Nimechat na mtoa mada, kumbe mzigo wake aliupata bhana kama ulivyo laptonga, iphonge na midolare buku jero yake baada ya kutuma hiyo 70k.
 
Huwa nikikutana na watu wanaotapeliwa hivi nasemaga mimi nina akili level za Einsten, kuna watu ni wajinga Nchi hii kama sio Dunia hii.

Mtu anaweza kutumia mzigo wa million 6 anashindwa kulipia 50K TSH ya postage.

Mtu hakujui, humjui anakupa dola 1500 alafu anatuma kwenye box ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜… ๐Ÿ˜…
 
Zawadi zako ulipokea????
 
Broo umepigwa na kitu kizito sana aseee achakabisa kafanye mambo yako, kwanza hio appearance ya iPhone na nani kapiga picha ya hio ndege huko angani???
 
Laptop, i phone na dollar 150 haviwezi kuwa na uzito wa ratili 105 kama ilivyoandikwa kwenye risiti.
Pili mtu binafsi huwezi kupeleka pesa kama mzigo.
Hizo documents ni fake
 
Wanakutamanisha hiyo million 3.8 pamoja na hizo laptop na simu wao lengo Lao ni kukutapeli hiyo elfu 70 tu
Kweli ulivyosema. Vitu vyote hivyo ni chambo. Ukikosea tu ukakila huishii hapo bali utanasa kwenye ndoano, boya na Ile kamba ya kuvulia ( hook, sinker and line). Tahadhari kabla ya hatari.
 
Mwanzo umeanza vizuri,ila mwishoni Sasa,Uzi umevamiwa.tulia kimya,utaenda kupigwa na kitu kizito kichwani,waambie hiyo hela waikate kwenye hyo waliokutumia.matapeli shituka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ