Nimeunganisha DStv kwa mara ya kwanza leo

Ewaaaaah sema Ronda siku hizi sijui kaenda wapi ila namkubali. Roman simpendi hapa nasubiri tu anyang’anywe mkanda
Ronda kuna movie nimiemuona huko, sijui ndiyo anakimbia, Roman nampenda ila sijui hatumiagi akili huwa anakosea mwishoni huwa ananikera hapo.tu.
 
Salamu, leo fundi kanisetia Dstv, kwa kifurushi Cha 60,000 hakika napata Kila kitu nilichotaka, channel za muziki za kutosha, tamthilia.

Ni gharama ila Kuna vitu vizuri jamani. Sihami tena Dstv mie
Ok msalimie shemeji ako
 
Karibu ktk king'amuzi boraa, tunafaidi vitu tyuuh.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…