Nimeutua mzigo mzito jana usiku

Liache liende fala hilo demu alafu mwana mademu km hao sifa yao sio ugumu ukimuona mgumu mgumu na huna future nae piga chini fasta
 
kupigwa ni sehemu ya kawaida afu wenzio wanaichukua kwa 10k tu mwananyamala, uwanja wa fisi, Tegeta
 
Acha upuuzi, yaani umemuacha bila kumpa mimba halafu unakuja kutuletea mastori ya ajabu humu.
Sasa wale wazee wa kulea watoto wa koo za watu unataka walee nini?
Mwanamke wa saiv kunpa mimba ni hadi hatake.Unawajua masista duu wa town hivi kaka.wale washenzi kabla ya kuja kwako anameza P2 mnapiga gemu...akitoka hapo anameza P2 tena [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani kumtia mimba labda uwe unaishi naye kabisaa hatoweza kumeza p2 daily ili hii ya kesho njoo tupige gemu..mara appointment anhaha HUWEZI
 
Daaaah,, mkuu umeandika kwa hisia mno, I can feel the pain.
"Ilintokea miaka miwili iliyopita niliachwa na demu wangu ilikuwa pisi kali ya kwenda niliyotoka nayo tangu chuoni, aliniacha nikiwa sina kazi sina hela na furaha yangu ilibaki ni yeye tu, niliumwa homa kali ikafikia hatua nilianguka kordon wapangaji wenzangu wakanisaidia kisha kumtaarifu broh wangu akaja nichukua pale ghetto",,,,,MUNGU ni mwema maumivu yaliisha.
 
Manguchiro sana haya magumegume
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…