Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
Kwanini mkuuUna milion 10 Bado unawaza upumbavu wa bodaboda
Mkuu hii pesa nimeuza kiwanja changu janaNikooeshe million Moja basi mkuu
Ni moja kati ya biashara risky sana.Kwanini mkuu
Piga harakati zipo nyingi achana na bodabodaKwanini mkuu
Ingia shamba huko nenda kalime Nyanya uzalishe Million 10 nyingineKwanini mkuu
Sawa mkuuKweli kweli umeamua kuifanya hiyo biashara, anza na boda moja. Kama ni biashara mpya kwako, then ukishaona mafanikio yake, ongeza nyingine.
Otherwise, hakikisha unafanya usimamizi wa kutosha.
AiseeNi moja kati ya biashara risky sana.
Sio mzoefy kwenye hicho kilimo mkuuIngia shamba huko nenda kalime Nyanya uzalishe Million 10 nyingine
Wazo la pili sIjaelewa mkuuChukua Hiyo hela Nunua Kirikuu nenda kwa wakopeshaji ma gari watakuongezea Pesa uwe unaeejesha kwao
Nenda kwa akina ASANTE MOTORS watakuagizia gari kwa bei nusu ulipe taratibu taratibu ,
Alafu uwe unalipa Kidogo kidogo
Usiwaze kabisa boda boda
Wazo la Pili tulia kwanza na 10M yako fanya utafiti wa kutosha kulingana na Eneo ulipo
Avoid wanawake na betting au Pombe
Britanicca
Kwanini mkuuKwa ushauri wangu ni kwamba USIJARIBU
Kama kuna biashara nyingine jna ujuzi nazo basi fanya.Kwanini mkuu
At least me ningejenga vyumba vya wapangaji single coz nyumba itakuwepo miaka yot tofaut na pikipik inaanguka mda wowote roadUna milion 10 Bado unawaza upumbavu wa bodaboda
Hiyo ni biashara kichaa unaweza kumpa dogo baada ya siku mbili akakuletea story za kukuibia chomboKweli kweli umeamua kuifanya hiyo biashara, anza na boda moja. Kama ni biashara mpya kwako, then ukishaona mafanikio yake, ongeza nyingine.
Otherwise, hakikisha unafanya usimamizi wa kutosha.
Kumbe hatariHiyo ni biashara kichaa unaweza kumpa dogo baada ya siku mbili akakuletea story za kukuibia chombo