Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

Unatamkabidhi kijana anaiuza anajichana wembe ametekwa alafu biashara ya kizamani alafu unawaza karibu sana huo ni mtaji mkubwa kalale tena uwaze
 
Chukua Hiyo hela Nunua Kirikuu nenda kwa wakopeshaji ma gari watakuongezea Pesa uwe unaeejesha kwao

Nenda kwa akina ASANTE MOTORS watakuagizia gari kwa bei nusu ulipe taratibu taratibu ,

Alafu uwe unalipa Kidogo kidogo

Usiwaze kabisa boda boda

Wazo la Pili tulia kwanza na 10M yako fanya utafiti wa kutosha kulingana na Eneo ulipo
Avoid wanawake na betting au Pombe

Britanicca
kirikuu wapi inalipa?
 
 
Back
Top Bottom