Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

Nimeuza kiwanja changu milioni 10, nataka ninunue bodaboda 3. Hii biashara mnaionaje?

Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss
Biashara nzuri:
1. Uza ngada
2. Betting
3. Baba ntilie
4. Anzisha kanisa
 
Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss
Hongera, ila unataka kuimalizia 10m, kizembe kabisa.

Biashara ya boda boda sio aina za biashara mkuu.

Achana nayo..fanya mambo mengine kabisa.
 
Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss
BIASHARA IMANI
 
Chukua Hiyo hela Nunua Kirikuu nenda kwa wakopeshaji ma gari watakuongezea Pesa uwe unaeejesha kwao

Nenda kwa akina ASANTE MOTORS watakuagizia gari kwa bei nusu ulipe taratibu taratibu ,

Alafu uwe unalipa Kidogo kidogo

Usiwaze kabisa boda boda

Wazo la Pili tulia kwanza na 10M yako fanya utafiti wa kutosha kulingana na Eneo ulipo
Avoid wanawake na betting au Pombe

Britanicca
Asante Motors .....wanaweza nipatia Daladala???
 
Kak ushauri wangu, iyo pesa wekeza kwenye car wash,utanishukuru, ukiitaji ushauri zahd juu ya iyo biashara nichek 0655556426
 
Nimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss
Kanunue viwanja vya ndanindani vikubwa vya 2M kama vinne hivi afu inayobaki kula maisha. Hatukuja kuteseka duniani
 
Una milion 10 Bado unawaza upumbavu wa bodaboda
we ndio unaweza kuwa unawaza upumbavu binafsi nimenunua tvs za 1.5m madogo wanaleta 21000 Kwa siku sasa pigia hesabu kwa mwezi dh ngapi...ishu ni usimamizi mzuri na service..
 
Nunua mpunga utulie zako mpaka mwezi wa 3 ,unalipuaa.unapiga Pesa bila uchawii. Hiyo 10 unapataa 20 totally 🔥🔥
 
Biashara ya boda boda itakupa unafuu wa maisha kwa mda mfupi, na baada ya hapo utarudi kule kule sababu hela hua inakuja kidogo kidogo automatically hela kama hiyo itakua inatatua changamoto za kila siku,kwahyo kuitunza ni ngumu, otherwise uwe na kazi nyingine ambayo itakufanya utunze hela ya boda boda kwenye akaunti kwa minajiri ya kuikuza,boda hua zinaharibika sababu ya kuangushwa mara kwa mara,kuibiwa na utunzaji mbovu,au mkataba ukiisha inakua sio ya kwako tena
 
CHUKUA BODA BODA 1 FANYA BODA BODA WEWE MWENYEWE NDIO UWE BODA BODA, PESA NYINGINE WEKA BANK.

M10 NDOGO SANA USIJIONE BOSS
 
Nilianza hii biashara ya boda aisee ni hasara tupu, kwanza kuleta hela hadi mgombne na huyo unaempa, poli matengenezo hayaishi unajikuta unaempa yeye faida
 
Back
Top Bottom