Sicario poison
JF-Expert Member
- Jan 1, 2021
- 2,327
- 4,575
Ukianza hio biashara nakuahidi utakikumbuka kiwanja ulichouza
Nadhani tofauti kubwa ya Muuza mahindi na mwenye bodaboda ni kuwq mwenye hiyo bodboda anapata hiyo hela pasipo kufanya kazi. Ila mwenye mahindi lazima akafanye kazi ndio apate hiyo hela. Wewe unaweza ukawa na shughuli nyingine unaifanya hiyo inakiwa ziada.Kwenye biashara ya Bodaboda mnufaika ni Mwendeshaji( unaempa kimkataba)
Gharama za bodaboda mpya ni 3,200,000 ambayo mkataba wake wa 10,000 kwa siku huwa ni miezi 15 wengi hufanya, ambayo ni kama 4,500,000 kwa kipindi chote.
Ukitoa na hela ya kununulia itabaki 1,300,000(faida) ukigawa kwa miezi 15 utapata faidA ya kama 80,000 kwa kila mwezi. Ukiongeza miezi ya mkataba inaweza fika 1,500,000 kwa mkataba wote kumalizika kama faida.
Hi faida ni sawa na wastani wa 2,500 hadi 3,500 kwa siku ambayo hata muuza mahindi tena anae choma kwa jioni tuu anakuzidi.
Ikiwa hela hiyo huna uwezo wakufanyia biashara nyingine kuungiza faida zaidi na unataka kuitumia kama hela ya matumizi( yaani kidogo kidogo uwe umaipat) basi kutumia boda boda ni sahihi ila sio biashara ya mtu mwenye malengo anasema anaifanya.
KwaniniKuna watu wanachekesha sana😅😅
Kwa maelezo Yako, hii pesa 10,000,000 akiweka UTT inaweza kumpa faida ya shs 100,000 Kila mwezi. Baada ya miezi 15 atakuwa na faida ya shs 1,500,000+10,000,000(Mtaji).Kwenye biashara ya Bodaboda mnufaika ni Mwendeshaji( unaempa kimkataba)
Gharama za bodaboda mpya ni 3,200,000 ambayo mkataba wake wa 10,000 kwa siku huwa ni miezi 15 wengi hufanya, ambayo ni kama 4,500,000 kwa kipindi chote.
Ukitoa na hela ya kununulia itabaki 1,300,000(faida) ukigawa kwa miezi 15 utapata faidA ya kama 80,000 kwa kila mwezi. Ukiongeza miezi ya mkataba inaweza fika 1,500,000 kwa mkataba wote kumalizika kama faida.
Hi faida ni sawa na wastani wa 2,500 hadi 3,500 kwa siku ambayo hata muuza mahindi tena anae choma kwa jioni tuu anakuzidi.
Ikiwa hela hiyo huna uwezo wakufanyia biashara nyingine kuungiza faida zaidi na unataka kuitumia kama hela ya matumizi( yaani kidogo kidogo uwe umaipat) basi kutumia boda boda ni sahihi ila sio biashara ya mtu mwenye malengo anasema anaifanya.
10m inajenga Nini?At least me ningejenga vyumba vya wapangaji single coz nyumba itakuwepo miaka yot tofaut na pikipik inaanguka mda wowote road