Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
- Thread starter
- #21
Mkuu kiwanja nimeshauzaAt least me ningejenga vyumba vya wapangaji single coz nyumba itakuwepo miaka yot tofaut na pikipik inaanguka mda wowote road
Mkuu kiwanja nimeshauzaAt least me ningejenga vyumba vya wapangaji single coz nyumba itakuwepo miaka yot tofaut na pikipik inaanguka mda wowote road
Duuh hatariBoda Bora zimeniingiza loss broh! Labda uendeshe wewe kama una muda😂😂😂
Ushauri mzuri.At least me ningejenga vyumba vya wapangaji single coz nyumba itakuwepo miaka yot tofaut na pikipik inaanguka mda wowote road
Chukua Hiyo hela Nunua Kirikuu nenda kwa wakopeshaji ma gari watakuongezea Pesa uwe unaeejesha kwao
Nenda kwa akina ASANTE MOTORS watakuagizia gari kwa bei nusu ulipe taratibu taratibu ,
Alafu uwe unalipa Kidogo kidogo
Usiwaze kabisa boda boda
Wazo la Pili tulia kwanza na 10M yako fanya utafiti wa kutosha kulingana na Eneo ulipo
Avoid wanawake na betting au Pombe
Wazo zuri.
Mkuu funguka tu kuwa inahitaji mkataba uingie road ( afisa usafirishaji)Ukishanunua hizo bodaboda mkuu nikupe kijana mmoja wa mkataba....
Hapana sio mimi mkuu mimi ni Ke kwanza kuwa afisa usafirishaji hainifai. Kuna ndugu yangu ni dereva mzuri anahitaji chombo kama unayo nikuunganishe nae basi.Mkuu funguka tu kuwa inahitaji mkataba uingie road ( afisa usafirishaji)
Sawa mkuuUkishanunua hizo bodaboda mkuu nikupe kijana mmoja wa mkataba....
Hii naielewa vizuri sana mkuu,nimetoa mkataba toka mwezi wa Kwanza lakini mpaka sasa sina akiba yoyote zaidi ya elfu 20 tu na mkataba unaisha mwezi wa 11 mwaka huu. Ni kama pesa yangu naila kidogo kidogo hakuna cha kusema naweza kununua nyingine mkataba ukiisha labda ninunue kwa chanzo kingine. Sema tu ni kuwa hukosi pesa ya mboga basi lakini mengine hayawezekani. Na jaama wana sound sana,mara mvua mara garage acha tuKama kuna biashara nyingine jna ujuzi nazo basi fanya.
Au lah kama ni hiyo hiyo boda boda, basi nunua 1 na uendeshe mwenyewe!.
Kwasababu ni biashara ambayo ni kama haina faida kwako, siku hiz inafanywa kwa mkataba. Utajikuta mpaka mkataba umeisha kama utafanikiwa kurudosha pesa yako basi itakua na excess ndogo sana na zaid ni kuwa hiyo pesa unakua unapewa kwa week (kama utakua unapewa maana stori huwa hazikauki) pesa ambayo utakua unaishia kuitumia tu kwa mambo ya hapa na pale.
Sio hatari ni utotoKumbe hatari
Uzoefu kwani unalima wewe?wewe ni msimamizi na unalimisha watu au pia nayo huwezi.Sio mzoefy kwenye hicho kilimo mkuu
Aisee kumbe ndio kupo hivyoHii naielewa vizuri sana mkuu,nimetoa mkataba toka mwezi wa Kwanza lakini mpaka sasa sina akiba yoyote zaidi ya elfu 20 tu na mkataba unaisha mwezi wa 11 mwaka huu. Ni kama pesa yangu naila kidogo kidogo hakuna cha kusema naweza kununua nyingine mkataba ukiisha labda ninunue kwa chanzo kingine. Sema tu ni kuwa hukosi pesa ya mboga basi lakini mengine hayawezekani. Na jaama wana sound sana,mara mvua mara garage acha tu
Ooh okayUzoefu kwani unalima wewe?wewe ni msimamizi na unalimisha watu au pia nayo huwezi.
nunua moja tu alafu test mitambo wewe mwenywewe usimpe mtu, ndyo utajua kama inalipa au hailipi, kama inalipa utafanya maamuzi mwenyeweNimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss
Bora ununue bajaji uendeshe mwenyewe, bodaboda ni biashara kichaa,hasa kuingia mkataba na mtuNimeuza kiwanja changu jana kilichokuwepo kibaha nimepata milioni 10 nikaona nifanye biashara ya bodaboda nizinunue 3 halafu niwape vijana waniletee hesabu je itanilipa wakuu Kwa mliowahi kufanya hii biashara au nitaingia loss