Duuuh
Na mwanaume anavumilia tuu jamanii... Lakini huyoo nae tayari kuna linalomsukuma anywe, ingawa sio njia nzuri ya kulitatua tatizo.... Mleta mada kasema mkewe ana puuu kabisaa ndani..... Ndo maana Siamini ujue
MmmmhWanawake wa aina hii wapo mkuu,huku kitaa kuna mke wa mtu ana sifa zote alizotaja huyu
Aiseeeemume mstaarab akija anamfungulia mlango analala !anamuosha anambadilisha nguo asbh unawaona wapo kwenye gar anamdrop job mume anaenda kazini !yaan km sio huyu sijui !sitak hata kumcheka !ni maisha ya ajabu sana
Mke wa jose mambo?
ameenAiseeee
Kuna watu wana changamotoo si kidogoo jamanii, Mungu awatie nguvu
Aiseeee
Kuna watu wana changamotoo si kidogoo jamanii, Mungu awatie nguvu
Kumbe ya kujitakia basi hakuna haja ya pole ulijitia ubingwa na umekushinda. Umrekebishe ni binti yako kama walishindwa Wazazi weye uhodari ungeutoa wapi. Utajaza Thread tu hapa Jf mkuu kifupi pambana na hali yako.Nilimuoa kujaribu kumrekebisha tabia yake lakini duuh
Yaukweli hayo mkuu?Nilimuoa kujaribu kumrekebisha tabia yake lakini duuh
Hiyo huruma mbona anawaumiza watoto zaidi sasa... Mtoto kuona mama kannya si fedheha hiyo jamaniiKabisa Sakayo, kwa asilimia kubwa ya wanaume hapa ni talaka tu au kutengana, lakini huyu bwana labda anawaonea huruma wanae kuishi bila mama yao.
Nikishuka ntajua pa kuelekea tuu... Dunia sio salama tena...ili uende mitaa ipi? Nauliza tu.
Mke wa jose mambo?
mbona mumeo hatumuoni sk hz jf?
Hiyo huruma mbona anawaumiza watoto zaidi sasa... Mtoto kuona mama kannya si fedheha hiyo jamanii